Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Mwenye line ya chuo Halotel nahitaji
Zinauzwa 15,000

hapo mkuu unaangalia tv channels bila kikomo?

Kama airtel ni tatizo eneo lako tafuta ttcl nao wanabando inayofanana na hiyo kawa jina la T-TV.Mimi nimetumia T-TV ya mwezi kwa tsh 8000 Matumizi yangu yalifikia kiasi cha Gb 40.

Kwenye Airtel menyu chagua internet then bando ya tv.kuna chaguo la siku ndiyo 500,wiki na mwezi.
 
wakuu naona vodacom amebadili vifurushi maalum, now napata 5GB za kutumia mwezi mzima kwa shilingi 2000 tu, hii ni zaidi ya line ya chuo yoyote ile,

mnaweza na nyie kutest vifurushi maalum *149*03# muone kama mtapata.
Mimi kwangu napata mb 1536=tsh1500 sasa sijui hizo mbs zimefika GB ngapi ebu nijuze mkuu.
 
wakuu naona vodacom amebadili vifurushi maalum, now napata 5GB za kutumia mwezi mzima kwa shilingi 2000 tu, hii ni zaidi ya line ya chuo yoyote ile,

mnaweza na nyie kutest vifurushi maalum *149*03# muone kama mtapata.
Chief hizi Ni Line mpya nini Mimi napata Worst offer nimekua natumia hii Line taangu 2008
IMG_20170920_141834_371.JPG

IMG_20170920_141834_371.JPG
 
Au nitafute Line nyingine hiyo 5GB imeniuma Sana
tatizo sijajua wametumia kigezo gani kutoa line fulani ipate mb hizi na nyengine hizi. tungejua hicho kigezo ingekuwa rahisi,

nina line 3 ila moja tu ndo napata 5GB, yenyewe ni nyeupe, sio ya chuo na pia sio ya mjasiriamali.
 
Hata yangu siyo ya chuo ngoja tupate confirmation kwa watu tuone Wamepataje! Huwa sioni Tatizo Kubadili line kwa Huduma Nzuri Voda DSM Ina Speed ya Hatari.
 
L
Mimi voda kwa sh 2000 wananipa GB 5 siku 30 na sh 1000 GB 1 kwa siku 15. kwa ya kwako tu *149*03#[/QUOTE
Wanatumia kogezo cha kulingana unavotumia bundle kwa hii offer au maana zina tofautiana wengine kwa 500 anapata mb 300 siku 5
 
tatizo sijajua wametumia kigezo gani kutoa line fulani ipate mb hizi na nyengine hizi. tungejua hicho kigezo ingekuwa rahisi,

nina line 3 ila moja tu ndo napata 5GB, yenyewe ni nyeupe, sio ya chuo na pia sio ya mjasiriamali.
Hata yangu siyo ya chuo ngoja tupate confirmation kwa watu tuone Wamepataje! Huwa sioni Tatizo Kubadili line kwa Huduma Nzuri
Mimi voda kwa sh 2000 wananipa GB 5 siku 30 na sh 1000 GB 1 kwa siku 15. kwa ya kwako tu *149*03#
Namba yako inaanzi na Ngapi Chalii mi naitamani sana hiyo mi ni 0769-
 
Back
Top Bottom