Umejuaje mkuuHapa ni kuna kila dalili y kupigw mtu
Unajiungaje hii ?Mambo halotel siku hizi sina stress najiunga 10gb
Tupe utaratibu mkuuUnganishwa na vifurush vya miezi mitatu. *Vodacom* *Airtel* na *Halotel* Pata dakika 1200 mitandao yote. SMS 5000 na 10GB kwa *VODACOM* Kwa Shillingi 8,000 *Airtel* na *Halotel* Pata dakika 750 mitandao yote, SMS 5000 na 10 GB kwa Shillingi 6000.
For inquiries njoo inbox.
"Ideas are easy but Implementation is hard."
UnajiungajeNi mb500 + mb100 za usiku.
Airtel si lazima uwe na line ya chuo, na baadhi ya mitandao ni rahisi kuzipata hizo line za chuo.Hapa naona neno "vifurushi vya chuo" limejiludia mala nyingi, hivi vifurushi vya chuo simpaka uwe na zile line za zao za chuo??
Ipoje hii?Airtel wana Airtel tv sh 500 kwa siku pia HBO full siku nzima Kama unaishi sehemu network ya Airtel ni nourish na mpenzi wa movie za kimarekani hii iko vizuri,local Chanel ni chanel ten,tbc.
hapo mkuu unaangalia tv channels bila kikomo?Kama airtel ni tatizo eneo lako tafuta ttcl nao wanabando inayofanana na hiyo kawa jina la T-TV.Mimi nimetumia T-TV ya mwezi kwa tsh 8000 Matumizi yangu yalifikia kiasi cha Gb 40.