Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Baada ya tukio hili ambalo kwangu limetokea juzi nahama tiGO ingawa sijajua nielekee wapi maana nimekua natumia huu mtandao kwa miaka mingi sana ila hakuna namna.
mkuu hata mimi najuta laini yangu ya kwanza kua tigo maana sometime nalalamika weee halafu sihami yaani kama wamenioa au wamenikodi au sijui wameniroga kwakifupi hawa jamaa(tigo) dawa zao kali
 
yah ni kweli, ngoja ni update thread
Pia wana Toboa Bundle kuanzia saa 22hours-6am kwa Tsh.1500 tuu unapata 10GB wenyewe wameamua kuiweka kuanzia saa 2200hrs walichonifurahisha unaweza kujiunga zaidi ya mara moja kama ina speed hadi saa 1:00 unaweza kujiunga kingine kwa watu wenye matumizi makubwa.
 
Pia wana Toboa Bundle kuanzia saa 22hours-6am kwa Tsh.1500 tuu unapata 10GB wenyewe wameamua kuiweka kuanzia saa 2200hrs
hio saa nne usiku una uhakika? maana kuna thread humu niliona ni saa sita usiku ndio inaanza
 
Hizo ni file ambazo nimeshusha kwa ile huduma ya toboa bando ..wnasema wanakupa 10 GB ila mimi nimedownload files za more than 10 gb pasipo kuisha kwa bando had kumi na mbili asubuh ndio service inakatika.
Vizuri delete hii comment wasione Mimi Kuna Mtandao nimejiunga na Line ya Chuo zile dakika za Mtandao yote haziishi
 
Back
Top Bottom