Babu_Jr
Senior Member
- Apr 13, 2016
- 114
- 26
line ya chuo ntazipta wap? mkuuView attachment 497747View attachment 497748View attachment 497749hiv ni vifurushi vya airtel natumia line ya chuo
line ya chuo ntazipta wap? mkuuView attachment 497747View attachment 497748View attachment 497749hiv ni vifurushi vya airtel natumia line ya chuo
Nimekupm mkuu kindly assistNi pm mkuu kama unaitaji vifurushi vya chuo vya voda
mi nikipiga iyo namba nikijiunga inaniletea txt ya cheka na haitaki kujiungaHii ikoje? Unatakiwa kuwa na line maalum au hii hii ya kawaida mradi tu uwe maeneo ya chuo?
Maana nimecheki *149*42# kwa line ya kawaida inaleta vifurushi ambavyo kiukweli vinavutia, hawa ndugu zetu wakati mwingine wanakata hela halafu kifurushi hupewi kama uko nje ya chuo.
Msaada tafadhali!
Mkuu tafadhali naomba msaada,smart tv yangu inashindwa kucheza muziki niliyoidownload kutoka youtube ambayo ipo kwenye flash disc nichomekapo kwenye usb port ya hiyo tv!!.....naomba nieleze code sahihi za videos,sauti pamoja na format inayoweza kukubali kucheza kwenye tv.Pia naomba niambie software nzuri ya window ambayo inaweza kuconvert hizo video ili ziende kwenye format inayoweza kukubali kucheza kwenye hiyo tv yangu!!unaungaje?
oii unge weka namba ya smu tu huko pm hamrwspondNimekupm mkuu kindly assist
Mkuu tafadhali naomba msaada,smart tv yangu inashindwa kucheza muziki niliyoidownload kutoka youtube ambayo ipo kwenye flash disc nichomekapo kwenye usb port ya hiyo tv!!.....naomba nieleze code sahihi za videos,sauti pamoja na format inayoweza kukubali kucheza kwenye tv.Pia naomba niambie software nzuri ya window ambayo inaweza kuconvert hizo video ili ziende kwenye format inayoweza kukubali kucheza kwenye hiyo tv yangu!!
Tafuta Total Video converter kama upo Dar naweza kukusaidia
Shukrani
Wewe kama mimi tu naambiwa (huduma ya cheka haipatikani kwa sasa)mi nikipiga iyo namba nikijiunga inaniletea txt ya cheka na haitaki kujiunga
labda tuulize kwa wenzetu kama wanatumia hii hudumaWewe kama mimi tu naambiwa (huduma ya cheka haipatikani kwa sasa)
Ukiambiwa haipatikani ujue lain yako sio ya chuoWewe kama mimi tu naambiwa (huduma ya cheka haipatikani kwa sasa)
Lain yako sio ya chuo ndiomana mnaambiwa hivyolabda tuulize kwa wenzetu kama wanatumia hii huduma
Tumeambiwa tunaunganishwa ndo maana tunajaribuLain yako sio ya chuo ndiomana mnaambiwa hivyo
Voda ndo wamewaambia hayo au?Tumeambiwa tunaunganishwa ndo maana tunajaribu
Hapana. Kuna mtu humuVoda ndo wamewaambia hayo au?
HaiwezekanVipi line ya kawaida ya Airtel haiwezi kusajiliwa kuwa ya chuo?
Eanaziuza tu lineline ya chuo ntazipta wap? mkuu
Asante mkuuHii ni thread ya vifurushi ambavyo sio rasmi kama vya chuo au vifurushi maalum ambavyo vinatoa kiasi kikubwa cha internet, nitalist vifurushi ninavyovifahamu kama kuna wanaojua vyengine watasaidia
Tigo
-1gb kwa shilingi 600
Nunua vocha ya 1000 halafu ingiza mfumo huu *104*namba ya vocha*03# watakukata shilingi 600 na utapewa 1gb ya internet
-Vifurushi vya chuo
Hivi utapata mb na dakika kwa pamoja ila nitaandika tu mb, shilingi 1500 mb500 kwa wiki na sh500 ni mb300 kwa wiki. kujiunga bonyeza *148*01*20# au bonyeza *148*00# kisha chagua vifurushi maalum, itabidi uwe na line ya chuo
Vodacom
-3gb kwa sh 2000 au 800mb kwa sh 1000
Bonyeza *149*03# kupata hivi vifurushi, kutegemeana na line utapata kifurushi kimoja kati ya hivyo
-Vifurushi vya chuo
Kwa sh 500 utapata mb500, 1500 utapata 1gb na 2500 utapata 2gb zinazodumu wiki nzima, kujiunga piga *149*42#
Airtel
-Vifurushi vya chuo
Hawa jamaa wana vifurushi vizuri zaidi vya chuo hasa cha usiku ambacho unapata 10gb kwa sh 600, pia kipo cha kawaida unapata 2gb kwa 1000 na 1.2gb kwa sh600. Kuvipata unahitaji kununua vocha za chuo zinazopatikana vyuoni au kutumia airtel money *150*60# kisha uchague ofa kabambe nafkiri option ya 6.
Halotel
-Vifurushi vya chuo
Hawa wana kifurushi kizuri cha chuo cha mwezi sh 10,000 unapata 10gb ni kizuri kwa wasiopenda usumbufu wa kuunga unga vifurushi, pia kipo cha wiki sh 500 mb600, kujiunga *148*55#
-Usiku 10g kwa sh 1500
Pia kipo kifurushi cha usiku kwa wale ambao airtel haina speed kwao, kujiunga *148*66# kisha utaenda upande wa internet.
TTCL
-Boom pack (vya chuo)
Kwa shilingi 500 utapata 500MB, shilingi 1500 1gb na shilingi 2500 3gb kujiunga *148*30#
Smart
-Unlimited bundle
Kwa siku unlimited 1,000 kwa wiki 7,000 na kwa mwezi 20,000 tuma neno DATASIKU au DATAWIKI au DATAMWEZI kwenda 100, vifurushi hivi ni kwa watu walio nje ya dar tu
Vifurushi vya youtube
Zipo website nyingi sana wanahost movie youtube, unaweza jiunga kifurushi cha youtube kisha ukatembelea hizo site na kudownload, sema utahitaji bundle nyengine ya kubrowse na bundle ya youtube ya kudownloadia. vipo kila mtandao.
Kuna kifurushi unaona kinastahili kuwa hapo? usisite kukitaja chini.
Remote
Hii ni thread ya vifurushi ambavyo sio rasmi kama vya chuo au vifurushi maalum ambavyo vinatoa kiasi kikubwa cha internet, nitalist vifurushi ninavyovifahamu kama kuna wanaojua vyengine watasaidia
Tigo
-1gb kwa shilingi 600
Nunua vocha ya 1000 halafu ingiza mfumo huu *104*namba ya vocha*03# watakukata shilingi 600 na utapewa 1gb ya internet
-Vifurushi vya chuo
Hivi utapata mb na dakika kwa pamoja ila nitaandika tu mb, shilingi 1500 mb500 kwa wiki na sh500 ni mb300 kwa wiki. kujiunga bonyeza *148*01*20# au bonyeza *148*00# kisha chagua vifurushi maalum, itabidi uwe na line ya chuo
Vodacom
-3gb kwa sh 2000 au 800mb kwa sh 1000
Bonyeza *149*03# kupata hivi vifurushi, kutegemeana na line utapata kifurushi kimoja kati ya hivyo
-Vifurushi vya chuo
Kwa sh 500 utapata mb500, 1500 utapata 1gb na 2500 utapata 2gb zinazodumu wiki nzima, kujiunga piga *149*42#
Airtel
-Vifurushi vya chuo
Hawa jamaa wana vifurushi vizuri zaidi vya chuo hasa cha usiku ambacho unapata 10gb kwa sh 600, pia kipo cha kawaida unapata 2gb kwa 1000 na 1.2gb kwa sh600. Kuvipata unahitaji kununua vocha za chuo zinazopatikana vyuoni au kutumia airtel money *150*60# kisha uchague ofa kabambe nafkiri option ya 6.
Halotel
-Vifurushi vya chuo
Hawa wana kifurushi kizuri cha chuo cha mwezi sh 10,000 unapata 10gb ni kizuri kwa wasiopenda usumbufu wa kuunga unga vifurushi, pia kipo cha wiki sh 500 mb600, kujiunga *148*55#
-Usiku 10g kwa sh 1500
Pia kipo kifurushi cha usiku kwa wale ambao airtel haina speed kwao, kujiunga *148*66# kisha utaenda upande wa internet.
TTCL
-Boom pack (vya chuo)
Kwa shilingi 500 utapata 500MB, shilingi 1500 1gb na shilingi 2500 3gb kujiunga *148*30#
Smart
-Unlimited bundle
Kwa siku unlimited 1,000 kwa wiki 7,000 na kwa mwezi 20,000 tuma neno DATASIKU au DATAWIKI au DATAMWEZI kwenda 100, vifurushi hivi ni kwa watu walio nje ya dar tu
Vifurushi vya youtube
Zipo website nyingi sana wanahost movie youtube, unaweza jiunga kifurushi cha youtube kisha ukatembelea hizo site na kudownload, sema utahitaji bundle nyengine ya kubrowse na bundle ya youtube ya kudownloadia. vipo kila mtandao.
Kuna kifurushi unaona kinastahili kuwa hapo? usisite kukitaja chini.
Remote
vya chuo au bila chuo?
Mmeshaliwa! Bongo daslaamHapana. Kuna mtu humu
Hichi ni cha chuovya chuo au bila chuo?