Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

"E="Smart Guy, post: 32182623, member: 404776"]
Wajanja tumesanuka daily tunaserereka na mega bando nyie komaeni na hivyo vya chuo shauri zenu
Smart guy
[/QUOTE]"ndo ikoje hio mkuu tuelekeze bas et
 
"E="Smart Guy, post: 32182623, member: 404776"]
"ndo ikoje hio mkuu tuelekeze bas et[/QUOTE]Unajiunga kupitia Halopesa menyu

Mantiki ya kulimit 500mb per day ni nini labda?

Au wanabana ili ununue kifurushi hiki mara moja tu kwa mwezi?
Screenshot_2019-07-17-19-07-38-1.jpeg
 
"ndo ikoje hio mkuu tuelekeze bas et Unajiunga kupitia Halopesa menyu

Mantiki ya kulimit 500mb per day ni nini labda?

Au wanabana ili ununue kifurushi hiki mara moja tu kwa mwezi?View attachment 1155941
Mantiki ni kwamba ukimaliza hizo mb500 na bado unataka kutumia internet uunge kifurushi chengine, hivyo wanataka utumie zaidi ya hio 15K kwa mwezi.
 
Naona kwangu kwenye menu inaonekana ila nikitaka kujiunga inagoma
Nilipitia kwenye tawi lao moja wiki iliopita Kuna mdada akanambia watafungia line zisizo za Royal zisiunge Hilo bundle, pengine ndo wameanza.
 
Halotel
-Vifurushi vya chuo

Hawa wana kifurushi kizuri cha chuo cha mwezi sh 10,000 unapata 10gb ni kizuri kwa wasiopenda usumbufu wa kuunga unga vifurushi, pia kipo cha wiki sh 500 mb600, kujiunga *148*55#
-Usiku 10g kwa sh 1500
Pia kipo kifurushi cha usiku kwa wale ambao airtel haina speed kwao, kujiunga *148*66# kisha utaenda upande wa internet.
HALOTEL wana kifurushi cha UNLIMITED INTERNET kuanzia sa 6 usiku -12 asubuhi kwa 1000 tu. Ingia hii menu *148*66#>1.Special Offer>6. Ramadhan Offer>2. Unlimited Internet
 
Broadband ni internet ya staili ipi mkuu
Ipo makundi mengi mengi mkuu Kama vile
-DSL (Digital subscriber line) ambayo hii unatumia zile waya za shaba kusambaza internet, mfano mzuri ni internet ya zamani ya TTCL ambayo ilikuwa inakuja na simu za mezani, na miundombinu yake ni Kama tu ile ya simu za mezani, speed yake kwa sasa imepitwa na wakati.

-Fiber, hii inakuwa ni waya zinasambazwa Kama vile umeme unavyopita, Sasa hivi mijini zipo na Bei zake ni nafuu, unaletewa waya nyumbani unachomeka kwenye router na kusuply internet nyumba Nzima, kwa vifaa Kama simu inatumia wifi na computer unaweza chomeka kwenye Ethernet ama wifi. Hii inakuwa na speed kubwa Sana na pia latency yake ni Ndogo Kama 2ms kwa hapa Tanzania, Halotel pia anayo kaitandaza Nchi Nzima ila anaitumia tu kwenye Mambo yake sidhani Kama ameanza kuipeleka waya majumbani.

-Satelite internet, hii inatumia dishi Kama la Azam vile lakini lenyewe linapokea na kutuma data na kukupa uwezo wa internet. Weakness yake kubwa ni latency sababu ukituma kitu mpaka kiende angani huko kisha ndio kipelekwa mahala husika ila speed ipo ya kutosha,

Wireless, hii unakuta eneo Kama mtaa mtu anafunga router kubwa na kusambaza internet mtaa mzima, mjini pia zipo Kama Maisha broadband, Raha spot etc hizi pia ni za kisasa na Nchi Kama Kenya wanazo nyingi kwa Bei rahisi
 
2000 GB 1 voda ya mwanachuo ngoja nifatilie hii ya *149*03#, inawezekana ikawa na unafuu wa maisha haya
 
Back
Top Bottom