Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Hizi Habari hivi Huku Hamna au Watu wanapita na vocha leo kama zote.

Ningependa kukushirikisha kwenye hii program inayofahamika kama DENT wako wanao ifahamu nawengine kwa bahati mbaya au nzuri hawaifahamu.

Program hii inakupa vifurushi vya bei nafuu na pia inakupa salio la zaidi ya shilingi 5000tzs mara tu utakapo jiunga.

Na kizuri zaidi utaweza kutoa papo hapo kwenye mtandao wowote utakaopenda

Link 👇🏾👇🏾👇🏾👇🏾👇🏾


https://jamiiforums.com/Tovzs7sxQX

Tanbihi:Link hiyo niliyoitoa ni refferal link ukijisajili kupitia link hiyo wewe na mimi tutapokea 1000 dent bila ya wewe kupungukiwa na chochote.
Jumla utakuwa na dent 1486 ambazo 1000 ni bonus ya kualikwa na 486 kama welcome bonus ambazo zina thamani ya shilingi 5000tzs

Screenshot_2019-06-27-14-39-03-663_com.android.contacts.jpg
 
Kwangu ipo Ila sio kama hiyo...kwangu kifurushi cha 1500 sipati dakika wala gb zote hizo!
Walikuwa wananipa dakika150(tigo),50(yote) & 1GB kwa 2500 kwa wiki.....wamekiondoa juzi hapa
Kesi yako kama yangu mkuu, walikitoa ghafla tu.nilivowapigia wasema eti wanaangalia matumizi yako. Kama haufiti wanakufyekelea mbali
 
Vifurushi wamekaba mitandao yote, ujanja sasa ni kutafuta mechanism nyingine ya kuokoa hela zetu za vocha sasa kupata vocha za 5000 bure,bonyeza link hii
https://jamiiforums.com/s6nWahSQSX
 
Kesi yako kama yangu mkuu, walikitoa ghafla tu.nilivowapigia wasema eti wanaangalia matumizi yako. Kama haufiti wanakufyekelea mbali
Huu sasa ubwege! Watu tuna matumizi makubwa lakini bado tunawekewa vifurushi vidogo...
Hawa wanapiga ramli tu hakuna kingine
 
Ningependa kuwashirikisha kwenye hii program inayofahamika kama DENT wako wanao ifahamu nawengine kwa bahati mbaya au nzuri hawaifahamu.

Program hii inakupa vifurushi vya bei nafuu na pia inakupa salio la zaidi ya shilingi 5000tzs mara tu utakapo jiunga.

Na kizuri zaidi utaweza kutoa papo hapo kwenye mtandao wowote utakaopenda

https://jamiiforums.com/Ych5OLYcQX
 
App ya DENT inakupa vifurushi vya bei nafuu na pia inakupa salio la zaidi ya shilingi 5000tzs mara tu utakapo jiunga.

Na kizuri zaidi utaweza kutoa papo hapo kwenye mtandao wowote utakaopenda kama vocha tu na si Mobile Money.

Link

https://jamiiforums.com/Tovzs7sxQX

Tanbihi:Link hiyo niliyoitoa ni refferal link ukijisajili kupitia link hiyo wewe na mimi tutapokea 690 dent bila ya wewe kupungukiwa na chochote.
Jumla utakuwa na dent 1280 ambazo 690 ni bonus ya kualikwa na 590 kama welcome bonus ambazo zina thamani ya shilingi 5000tzs.
 
Mkuu naomba msaada wako kama unalifaham hili,namna ya Ku unlock keyboard letter katika laptop,kuna button hapa haifunction kila nikibonyeza hata nikitumia onscreen keyboard inaonekana imejilock......
Ukibonyeza shift na 2 inakuja @?
 
Yap inakuja ndiyo
Hizi keyboard zipo nyingi kuna qwerty, Azerty etc

Angalia kwa windows 10 namna ya kubadili hapa


Sisi tunashare na Uingereza ama nchi nyengine za jumuia ya madola(Kenya, Uganda, etc)

Kama Ina windows nyengine niambie
 
Nani kajaribu hii.
20190702_235600.jpg


Screenshot_20190702-235748_My Halotel.jpg

Inaonekana odds za hizo 10GB, 500MB, 200MB na 100 MB ni ndogo sana. Labda chini ya 1%. Au kuna mtu humu amezibahatisha.
 
Back
Top Bottom