Basi nilimix na yule mwana kaweka profile ya Pep Guardiola. Majina yanafananaWa Arusha. Alihamasisha sana kujiunga makundi ya fursa mbalimbali
Alisha fariki mkuu, wali mzika arusha kama sikosei.Naombeni ufafanuzi wakuu hivi ule mkanganyiko wa kifo cha Leadermore uliishaje?
Maana ID yake iliwekewa RIP lakini baadae ikatolewa.
Namba ikiwa dormant kwa siku 90 huwa inatolewa na kupewa mtu mwingine...Mimi nina namba ya supervisor wangu alifariki 2019 hadi leo siifuti,nafarijika tu kuona namba na majina yake
Ajabu nikifanya kama namtumia hela bado jina linasoma lake
Acha kulia haufi nitakufa mimi wa kwanza😉Hata kwenye maisha ya kawaida wajane ni wengi kuliko wagane😭😭😭
Chivundu maisha yetu duniani si milele😪 kuna siku sitakuwepo. Kitakachobaki ni haya maandishi😭Namkumbuka Ben Saanane. Siwezi kuzungumza sana kuhusu yeye. Lakini haipiti siku, sijafikiria juu yake. Popote ulipo Ben, nakukumbuka rafiki yangu.
Namkumbuka Le Mutuz (R.I.P). Watu wengi walimfahamu kupitia emage yake ya mitandao. Lakini kiuhalisia nje ya mitandao, William alikuwa ni mtu mpenda watu, mcheshi na sio mchoyo wa fursa.
Warumi (R.I.P), alikuwa mshikaji wangu pia hapa jamvini. Very sad!
Mshana Jr, umenikumbusha mbali jamaa yangu. JF inakuwa burudani zaidi kwa uwepo wako mkuu. Mada zako zinaleta "engagement" kwa members wengi. Hongera sana.
UnanikwazaaaaChivundu maisha yetu duniani si milele😪 kuna siku sitakuwepo. Kitakachobaki ni haya maandishi😭
Nitakufa ila mpka nifaidi faidi kwanza 😜Hutakufa daughter bali utaishi na kuyasimulia matendo makuu ya Mungu wetu💖
Binafsi sioni sababu ya kuogopa kitu ambacho ni lazima na asili kukupitia .Ni kweli kabisa, huo ndio ukweli kabisa wa maisha na hakuna anayeweza kuukwepesha. Sisi sote ni wasafiri tu hapa duniani na kila mmoja wetu ana muda wake uliopangwa😭😭