Kinachoniogopesha kuhusu kifo ni kutokuwa na hakika ya unapokwenda au life after death. Ila kwa mara ya kwanza mwaka huu, naona chochote ni sawa kwani hata nikifariki siongezi wala sipunguzi kituZamani nikisikia neno kifo niliogopa sana
Nikiumwa nilikua nawaza kifo mda wote
Ila sasa sijui nini kimetokea naogopa kupoteza au kufiwa na ninao wapenda
Hiyo trauma ya kufiwa na vipenzi vyangu kheri nife wa kwanza tu ila mimi binafsi hata nikifa leo naona sawa tu
Hata kwenye maisha ya kawaida wajane ni wengi kuliko wagane😭😭😭Kwamba wanawake hawafi?
Kuna msemo hua nasikia wanaume hufa mapema zaidi kwa sababu ya kubeba mambo mengi sehemu ya kulia badala alie ana kaza
Hata ku share matatizo yake hawezi anahangaka nayo
But sina uhakika kama hii sababu ina mashiko
😀😀😀 yupo live kabisa hata Leo kaanzisha uzi
Life is not a process..! Life is a state to the vast eternity..!Kinachoniogopesha kuhusu kifo ni kutokuwa na hakika ya unapokwenda au life after death. Ila kwa mara ya kwanza mwaka huu, naona chochote ni sawa kwani hata nikifariki siongezi wala sipunguzi kitu
Hahahaha kwanini
Ahahaha hachelewi kutukana yuleNiliwahi kumroga halafu nikaja kumwambia.. Alini mind vibaya sana🤣