Vifo vilivyoniumiza JF

Sikuona hiyo.Binadamu wengine tulivyo na masihara si ajabu tungepuuza kumbe mtu yupo maji ya shingo.
Mitandao always Huwa ni threat Kwa watu wenye changamoto

Unaweza kuwa na changamoto ukaja kuomba ushauri ukapewa majibu yanayoweza kutumia hisia zako ,

Kwa kweli binafsi siwezi kuomba ushauri online hata iweje
 
Na bado kuna wengine mashada yalishaliwa na mchwa mimi wala wewe hatuwajui ila walikuwepo humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…