William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,588
- 10,375
Mkuu GT,
Heshima yako bro, hebu tuweke sawa kuhusu hii ishu, Mwanakijiji amesema endapo itadhihirika kuwa kuna vifo vimetokea, sasa je vifo hivyo vimeshathibitishwa taayri au bado?
Halafu exactly kilichotokea hasa ni nini huko tupeni habari kamili kwanza, maneno yamekua mengi lakini siuoni ukweli wa habari, naomba tena kujua kilichotokea kutoka kwako maana habari ya MMJ haina hitimisho kama ni kweli! Halafu jaribuni kutumia lugha nyepesi ili wananchi wote waelewe kinachosemwa maana wengi tunakula hii elimu ya bure, samahani kwa kukukwaza kama unavyoonyesha kwa maneno yako, lakini ni muhimu wananchi tukaelewa kunachozungumziwa hapa maana si ndio hasa nia na madhumuni yaani kutuelimisha, au?
Mkuu Son of alaska,
Karibu sana maana naona uansema huwa hupo hapa, hapa ni kukata ishus za taifa, mimi ninakuwa na tatizo watu wanapotumia lugha nzito mno kwa wananchi wa kawaida kuelewa, kwa sababu hapa tuna wananchi wa aina nyingi sana na kuna wasioweza kuelewa hizi lugha nzito, hayo ya Boys to Men sina uhakika kwa sababu ninaamini wote hapa ni watu wazima hakuna mtoto mdogo, hapa tunataka kuelimishana sio kuonyeshana nani ana elimu kubwa au ndogo, na that has nothing to do na being a boy au men, au?
Sasa wakuu wote tusaidieni elimu, maana hiyo indepth analysis sijaiona bado nilichokiona kwenye hii thread so far ni ugly personal attacks, unless kama hizo ndio zinaweza kutenganisha boys to men sawa na hayo ya Cold War hayapo ila ila kilichopo ni baadhi yetu sisi wananchi kukataa kuburuzwa na ku-stand firmly on the ground, tunaweza kujadili ishus wka ustaarabu na tunaweza pia the otherside maana wote hapa ni watu wazima watoto hawapo hapa, sasa tupeni elimu au endeleeni kutupa hizi rants za personal ambazo hazituelimishi na wala hazitenganishi nani ni nani period!