Vifo na Vipigo JKT intake June 2014 vichunguzwe

Vifo na Vipigo JKT intake June 2014 vichunguzwe

Nilipita jeshini intake ya kwanza OP "miaka 50 ya JKT", Kanembwa jkt 821 KJ...!!!

Kwanza mleta mada usilete upotoshaji, ni kinyume kisheria hata kwa sheria za hapa JF.
Unaposema vifo you explicitly mean ni zaidi ya kifo ki1, mpaka sasa ni kifo ki1 tu ambacho kimeharifiwa. RIP...

Hakuna mtu anayeweza kuzuia kifo anywise....
Mazoezi ya jeshini ni ya kawaida sana, in such a way that, kila mtu anaeza kushiriki kama afya yake ipo sawa.
Accidents happens bhana, who knows even the next second??? So ukisema mtu alivunjwa mbavu kwa kupigwa teke bado hainiingilii akilini, kwani ameenga kuuwawa, amaa???

Acha vijana wale cozy bana, wapate ukakamavu, uhodari, uvumilivu, nidhamu, mafunzo ya kijeshi, uzalendo nk nk...
Kumbuka wako kule kwa ajili ya mafunzo maalum ya kujitolea hivyo katika kufanya hivyo lolote laweza kutokea.Kama ni kifo chaweza kutokea tu popote hata kama huko JKT
 
Kumbuka wako kule kwa ajili ya mafunzo maalum ya kujitolea hivyo katika kufanya hivyo lolote laweza kutokea.Kama ni kifo chaweza kutokea tu popote hata kama huko JKT

sio kujitolea mkuu. wamelazimishwa kwenda kwa mujibu wa sheria wanavyodai wenyewe
 
Nilipita jeshini intake ya kwanza OP "miaka 50 ya JKT", Kanembwa jkt 821 KJ...!!!

Kwanza mleta mada usilete upotoshaji, ni kinyume kisheria hata kwa sheria za hapa JF.
Unaposema vifo you explicitly mean ni zaidi ya kifo ki1, mpaka sasa ni kifo ki1 tu ambacho kimeharifiwa. RIP...

Hakuna mtu anayeweza kuzuia kifo anywise....
Mazoezi ya jeshini ni ya kawaida sana, in such a way that, kila mtu anaeza kushiriki kama afya yake ipo sawa.
Accidents happens bhana, who knows even the next second??? So ukisema mtu alivunjwa mbavu kwa kupigwa teke bado hainiingilii akilini, kwani ameenga kuuwawa, amaa???

Acha vijana wale cozy bana, wapate ukakamavu, uhodari, uvumilivu, nidhamu, mafunzo ya kijeshi, uzalendo nk nk...


Cozy kuwavunja watoto mbavu? is it necessary kutumia nguvu nyingi kiasi hicho ? Hawa watoto wangepimwa afya kabla ya kwenda JKT
 
umenishitua sana ndugu kwani nami nina mtoto kaingia mwezi wa sita huko JKT kumbe mambo ni haya tena. mimi mwenyewe nilipitia JKT enzi zile hivyo nilimsihi sana mwanagu aende huko na asiwe na hofu yoyote. sasa najiuliza hii taarifa nitaifikishaje kwa mama yake!!
 
Kumbuka wako kule kwa ajili ya mafunzo maalum ya kujitolea hivyo katika kufanya hivyo lolote laweza kutokea.Kama ni kifo chaweza kutokea tu popote hata kama huko JKT
hawakwenda huko kwakujitolea!!! Echolima
 
Last edited by a moderator:
These are shocking news indeed. Wazazi wameaga mtoto mwezi mmoja uliopita halafu leo wanaletewa maiti? Hii inasikitisha sana sana!!! Naomba Ma- CEO wasiwaamini hawa maafande wao wavuta bangi please wawatunze watoto wa wazazi wenzao
 
Poleni sana ila msiconclude,subiri uchungunzi,ndo muweze kuconclude,laknini pia watoto wetu hawajazoea suluba na siyo kila mtu anafaa kwa mafunzo ya kijeshi na ndo maana hakuna mwanajeshi anayejiunga na jeshi bila kupimwa afya yake.
 
Aise, binti yangu yuko huko;

But nashukuru Mungu anaendelea vizuri;

Anacholalamika ni ratiba kuwa ngumu na kukosa
hata muda wa kupumua; means kazi ni nyingi sana sana.

Naamini Mungu atakuwa pamoja na vijana wote ili wamalize salama.
 
These are shocking news indeed. Wazazi wameaga mtoto mwezi mmoja uliopita halafu leo wanaletewa maiti? Hii inasikitisha sana sana!!! Naomba Ma- CEO wasiwaamini hawa maafande wao wavuta bangi please wawatunze watoto wa wazazi wenzao

haiingi akilini kabisa ndani ya mwezi tu kifo.. jkt mafunzo yao sio mazur..
 
Dotcom wamezidi nyoronyoro wacha wakomazwe, shuleni wakichapwa kuwekwa sawa wazazi wao wanakuja juu, haki elimu iende na huko pia....
 
Mkuu wa jkt ajibu hizi shutuma za mauwaji kama iyo jkt wala aikuanza leo ni jina tu ndilo labda limebadilika mbona zamani watu walikuwa awafii, hata uko monduli jeshini watu kama wameenda kozi awafii ndio itakuwa jkt acheni upuuzi kama vp jkt ifutwe kwanza si lazima ni kujitolea
 
practice and procedure hata ukipinga siye tulipita huko vijana kadhaa tuliwazika
Mkuu kwa hiyo unaona ni sawa kwa Vifo hivyo??Je wangekuwa ni wanao ungeshabikia hivyo unavyoshabikia??
 
Hivi hii jkt kwa nini isifutwe tu??taifa gani wanajenga?kwangu mimi jeshi ni jw tu
 
hiii kitu waitoe tu haina maana yoyote ukakavu upi mtoto anapewa mafunzo miezi mitatu wakati wenzao wakujitolwa wanapata mafunzo miezi sita

hizo pesa wanazotumia ukko wangezielekeza katika mkipo wa elimu ya juu uko jkt wanatesa tu watoto hakuna maana
 
Back
Top Bottom