Vifo 150 ni makusudi ya Rubani Ufaransa

Vifo 150 ni makusudi ya Rubani Ufaransa

Something just doesn't feel right about this whole story! Kwanza kwa nini hawatoi majina ya abiria waliopanda ndege - kwa kawaida hicho ndicho kingekuwa kitu cha kwanza kutagazwa, kuna watu walio kuwa karibu na sehemu hiyo wanasema walisikia mlipuko alafu muda kidogo wakaona ndege za kivita zikikatiza!!

Wahusika hawesemi ukweli 4 a reason, jana hiyo hiyo karibu ndege 37 za NATO zilikuwa zinafanya mazoezi ya kufyatua air to air missiles zilizo hundwa USA ndege hizo zilikuwa zimezima transponder zake, ni ndege moja tu ya kivita ya Italy katika kundi hilo ndio iliwasha transponder yake na kusikia/ona emergency code #7700 kwenye cockpit yake - fighter Pilot wa Kitaliano aliwasha transponder yake baada ya kuona Germanwings Flight 9525 ikiporomoka kwa kasi kuerekea aridhini.

Jana hiyo hiyo Marubani wengi wa Kijerumani walikataa kurusha ndege za kiraia wakiofia mazoezi ya kivita (NATO) yanayo ratibiwa/simamiwa na US ndani ya Taifa lao na some Baltic States
.

Binafsi naona huyo dogo wanamsingizia tu, haiwezekani mtu mwenye matataizo ya akili aka-switch on emergency code- kama shida yake ilikuwa ku-commit suicide kwa nini aliomba msaada.

Wazee wa conspiracy theories
 
Something just doesn't feel right about this whole story! Kwanza kwa nini hawatoi majina ya abiria waliopanda ndege - kwa kawaida hicho ndicho kingekuwa kitu cha kwanza kutagazwa, kuna watu walio kuwa karibu na sehemu hiyo wanasema walisikia mlipuko alafu muda kidogo wakaona ndege za kivita zikikatiza!!

.

Au mimi naishi sayari nyingine! mbona kama jana alhamisi niliona wanasoma majina yote 150 pale kijijini
 
Au mimi naishi sayari nyingine! mbona kama jana alhamisi niliona wanasoma majina yote 150 pale kijijini

Nimesema hicho ndicho kingekuwa kitu cha kwanza kutangazwa kabla hawajahanza kulahumu lahumu DOGO, mbona awasemi kama flight voice recorder ili-record kelele za abiria wakati ndege ilipo nose dive nyuzi tisini kwenda aridhini, walicho sema ni Co-Pilot kukataa kumfungulia mlango Captain vile vile walisikia sauti ya kishindo kulicho sababishwa na impact ya ndege kuanguka aridhini, wanapuuzia ma-eye witness, hawasemi sehemu hiyo kulikuwa na wazoezi ya kijeshi ya ndege za vita za NATO kwa nini? Je Fighter Pilot wa Kitaliano ni muongo?
 
Ishmael It's just a sick person bro, scary thing is, this disease could be potentially fatal and trigger someone to get to this point
Do we have the name of his sickness? I guess ISIS fits the description. I am wring something about ISIS Syndrome and how to treat said fiendish sickness.
 
Do we have the name of his sickness? I guess ISIS fits the description. I am wring something about ISIS Syndrome and how to treat said fiendish sickness.

Are you a run away bride of ISIS? You seems to fell in love with those guys. You talk about them every day.

Poor girl. I wish I could help you. But you ask for it. Now you goner get it bwaty boy.

Teh teh teh teh.
 
Co-pilot alikuwa na matatizo ya akili
 
Mm hapa naona kama kuna uongo flani ivi umetumika kusema huyo rubani alikua chizi ndio maana aliiangusha ndege huo ni uongo kabisa na hainingii akilini labda mm naona hao walio angusha hiyo ndege ndio waliweka na hicho kibox
 
Phsycopath.
Aliwahi ugua kichaa seriously na alikuwa anahudhuria vlinic nyingi ikiwepo pyschiatric.

Alichana doc za kidaktari zilixoshauri apumzike kazi. Imethibitishwa
 
Something just doesn't feel right about this whole story! Kwanza kwa nini hawatoi majina ya abiria waliopanda ndege - kwa kawaida hicho ndicho kingekuwa kitu cha kwanza kutagazwa,

Dude, seriously? Yaani watangaze tu majina yaliyo kwenye passenger manifest bila hata ya kuwasiliana na next of kin kwanza? Protocol ya wapi hiyo? Unasema kwa kawaida hicho ndicho kingekuwa kitu kwanza kutangazwa - unaweza kunipa mifano mitano ya hiyo unayoiita "kawaida?

Licha ya dai lako, majina ya abiria wote tayari yanajulikana na uraia wao ushathibitishwa.

kuna watu walio kuwa karibu na sehemu hiyo wanasema walisikia mlipuko alafu muda kidogo wakaona ndege za kivita zikikatiza!!

Hahahaaa...kama wanadanganya je? Nakumbuka hata MH370 kuna watu waliiona sehemu tofauti tofauti.....

Wahusika hawesemi ukweli 4 a reason,

Una ushahidi gani (1) kuwa hawasemi ukweli, (2) kama hawasemi ukweli, ukweli ni upi sasa, na (3) reason ya wao kutokuusema huo ukweli ni nini?

jana hiyo hiyo karibu ndege 37 za NATO zilikuwa zinafanya mazoezi ya kufyatua air to air missiles zilizo hundwa USA

Zilikuwa zinafanya mazoezi wapi? Na wewe umejuaje - uliziona? Na ulijuaje idadi yake? Na umejuaje kuwa ni za NATO?

ndege hizo zilikuwa zimezima transponder zake,

Umejuaje hilo? Uliambiwa na mhusika au wahusika waliozizima hizo transponder?

ni ndege moja tu ya kivita ya Italy katika kundi hilo ndio iliwasha transponder yake na kusikia/ona emergency code #7700 kwenye cockpit yake - fighter Pilot wa Kitaliano aliwasha transponder yake baada ya kuona Germanwings Flight 9525 ikiporomoka kwa kasi kuerekea aridhini.

Hmmm....wewe....una uhakika kweli na hicho unachosema?

Jana hiyo hiyo Marubani wengi wa Kijerumani walikataa kurusha ndege za kiraia wakiofia mazoezi ya kivita (NATO) yanayo ratibiwa/simamiwa na US ndani ya Taifa lao na some Baltic States

Lete chanzo au vyanzo, tafadhali.

Binafsi naona huyo dogo wanamsingizia tu, haiwezekani mtu mwenye matataizo ya akili aka-switch on emergency code- kama shida yake ilikuwa ku-commit suicide kwa nini aliomba msaada.

Aliomba msaada gani? Kwa nani? Na kivipi?
 
This was pre meditated, Pilot's ex girlfriend nae kajitokeza, wonder if what she's saying is true au na yeye just want her 15 minutes. But the Psycho was seriously SICK!
 
ninachoshangaa mbona hawamuiti kuwa ni Gaidi? nini maana ya Gaidi? sababu matukio yakifanywa na wazungu hayaitwi ugaidi hadi muarabu
 
Back
Top Bottom