Hujataka kujihangaisha ndugu, vipo vingi sana mitaani. Mfano, ukipita barabara ya Tandale Uzuri, kuna wanaouza bidhaa hizo used, Kariakoo pale Gerezani kwa watengeneza majiko hakuna kitu utakosa, Kitunda relini kuna jamaa wana kila hardaware unayotaka kama vile masinki ya kunawia, mabati, mirunda, milango, nondo nk. Ni maeneo mengi sana.Kwema wakuu?
Kuna kitu nimewaza hapa. Mfano mtu anajenga akanunua mirunda au Marine Boards. Akimaliza kujenga ni wazi hivi vifaa havitotumika tena. Hua vinaendaga wapi baadae?
Kuna watu hua wananunua au kuuza hivi vitu? Nimewaza wajenzi wengi wanaweza kuokoa gharama kubwa kama kutakua na utaratibu wa kuzungusha hivi vifaa kutoka kwa mmoja kwenda kwa mwengine.
Sio lazima kila mjenzi mpya awe anaenda dukani kununua mirunda mipya, au marine mpya wakati ni vitu ambavyo hutumika kwa muda tu kwenye ujenzi.
Hili swali sawa na langu kuhusu form one,Kila Mwaka wazazi wanaandikiwa,mwanafunzi aje na Jembe,Beleshi,fyekeo, Nk Huwa vinaenda wapi na form four wanamaliza,hawaondoki navyo?Kila Mwaka maagizo ni Hayo hayo!Kwema wakuu?
Kuna kitu nimewaza hapa. Mfano mtu anajenga akanunua mirunda au Marine Boards. Akimaliza kujenga ni wazi hivi vifaa havitotumika tena. Hua vinaendaga wapi baadae?
Kuna watu hua wananunua au kuuza hivi vitu? Nimewaza wajenzi wengi wanaweza kuokoa gharama kubwa kama kutakua na utaratibu wa kuzungusha hivi vifaa kutoka kwa mmoja kwenda kwa mwengine.
Sio lazima kila mjenzi mpya awe anaenda dukani kununua mirunda mipya, au marine mpya wakati ni vitu ambavyo hutumika kwa muda tu kwenye ujenzi.
Mwanao alipomaliza F4 akarudi nyumbani ulipomwuliza vifaa viko wapi alikujibu namna gani?Hili swali sawa na langu kuhusu form one,Kila Mwaka wazazi wanaandikiwa,mwanafunzi aje na Jembe,Beleshi,fyekeo, Nk Huwa vinaenda wapi na form four wanamaliza,hawaondoki navyo?Kila Mwaka maagizo ni Hayo hayo!
Vimebaki shule!Mwanao alipomaliza F4 akarudi nyumbani ulipomwuliza vifaa viko wapi alikujibu namna gani?
Swali la nyongeza kwa kijana: Kwa nini hujavirudisha nyumbani?Vimebaki shule!
Mali ya shule,ila kwenye form hakuna Hilo!Swali la nyongeza kwa kijana: Kwa nini hujavirudisha nyumbani?
Alikujibu vipi hapo?
Mmm1! Sina uhakika sana lakini uzoefu ni kwamba wanafunzi wengi huona ni usumbufu kuvibeba vifaa hivyo kuvirudisha nyumbani, wengine hutamba na kwa majigambo huwaambia wenzao kwamba vitu hivi vimechoka kwetu hatutumii vitu vilivyo expire, wengine huwa wameviharibu sana kiasi huona shida kuvirudisha nyumbani ilhali vilitoka vikiwa vizima/vipya, wengine huwauzia lower forms au hata kuviuza mtaani. Wengine mali hizo huzuiliwa na shule kutokana na uharibifu alioufanya(Hili ni mara chache sana. Huwa wenye madeni husubiriwa kwenye vyeti).Mali ya shule,ila kwenye form hakuna Hilo!
Vile wanavichukuaga walimu. So labda na hapa unataka kusema wanavichukuaga wasimamizi wa ujenzi/Mafundi?Vimebaki shule!
Anhaa,Hujataka kujihangaisha ndugu, vipo vingi sana mitaani. Mfano, ukipita barabara ya Tandale Uzuri, kuna wanaouza bidhaa hizo used, Kariakoo pale Gerezani kwa watengeneza majiko hakuna kitu utakosa, Kitunda relini kuna jamaa wana kila hardaware unayotaka kama vile masinki ya kunawia, mabati, mirunda, milango, nondo nk. Ni maeneo mengi sana.