Views 11,125...replies 21...

Hahahaha acha na mimi nispite kavukavu... Kweli umetuweza mkuu! Big up sana.
 
Bagah ni kawaida yake kupenda vya bure...yuko radhi atoke dar hadi songea kisa bia za bure

tehe!..sio ww jana ulikua unaulizia CALABASH ni wapi akati upo sombetini arachuga!
 
Kuna vya kuchangia na vingine sio vya kugusa kabisa ni hatariiii sana unaweza ramba BAN
bila matarajio.............labda huku nitachangia lakini kuna majukwaa hatari kabisa ni kusoma
na kupita tu..........
 
Kuna vya kuchangia na vingine sio vya kugusa kabisa ni hatariiii sana unaweza ramba BAN
bila matarajio.............labda huku nitachangia lakini kuna majukwaa hatari kabisa ni kusoma
na kupita tu..........

sasa kama jukwaa la funzadume na kimbweka sijui utachangia nini kule.
 
wengine wanaacha kucoment ili walinde heshima zao kutokana na aina ya thread,wengine uvivu,mwingine hawezi akacoment kwa sababu haelewi kinachoulizwa au hana huo utaalamu,ndo mana wanabaki kusoma

wengine hawana muda wa kutosha..
 
na mie nisije onekana nimesoma na kupita tu, ngoja nichangie..............
Good afternoon
 
ila muda wa kula chabo wanao...?

muda ninaotumia kula chabo tofauti na ninaotumia kuandika. Nakula chabo mara moja nahamia kwingine. Kuna threads humu nishaona unakuta replies 3 view 0, huwa najiuliza walireply kabla hawajaview au inakuwaje!
 
Back
Top Bottom