Views 11,125...replies 21... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Views 11,125...replies 21...

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by BAGAH, Mar 8, 2012.

 1. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #1
  Mar 8, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Pole na kazi na Matumizi...
  ...huwa najiuliza,humu kuna wapiga chabo(viewers) wengi kuliko wenye michango ya mawazo inayoandikika...
  tungefurahi kuona mawazo ya watu mbalimbali...mimi naamini JF ni kila kitu, mawazo mengine humu yanatuchekesha tu...ili mradi siku iwe fupi...mengine kweli yanafaa kwa matumizi ya BIN'ADAM..sio haki kuchungulia tu nakupotea...
  tupia neno na litakua ni msaada kwa mwingine...najua wengine tunaogopa challenges...trust me zinajenga hizo...
  sa kusimama mbele ya watu huwezi...na humu ambapo hatukuoni nako utata...?
  na kama bado hujajiunga,jiunge sasa mambo iko huku JF
   
 2. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #2
  Mar 8, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  wengine wanaacha kucoment ili walinde heshima zao kutokana na aina ya thread,wengine uvivu,mwingine hawezi akacoment kwa sababu haelewi kinachoulizwa au hana huo utaalamu,ndo mana wanabaki kusoma
   
 3. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #3
  Mar 8, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Bila kusahau guests
   
 4. Amyner

  Amyner JF-Expert Member

  #4
  Mar 8, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 2,404
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Jibu tosha!
   
 5. Bakulutu

  Bakulutu JF-Expert Member

  #5
  Mar 8, 2012
  Joined: Nov 30, 2011
  Messages: 1,895
  Likes Received: 313
  Trophy Points: 180
  We Bagah, ulikuwa una niona nn? Na kama sio hivyo hata hii maskin wa Mungu ningepita...kweli umenipatia!!
   
 6. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #6
  Mar 8, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  aaah BK hata weye?
   
 7. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #7
  Mar 8, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Amyner!
   
 8. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #8
  Mar 8, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  ndio tuhamasishane...tunaweza tukabadili mitazamo ya wachache wenye izo tabia ulizotaja...
  by tha way nimependa mchango wako...najua ww sio mzee wa chabo.
   
 9. S

  SI unit JF-Expert Member

  #9
  Mar 8, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 1,938
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Nimeona soo kupita kimyakimya coz uzi wenyewe umeshanisuta. Mh. BAGAH pokea salam zangu!
   
 10. Amyner

  Amyner JF-Expert Member

  #10
  Mar 8, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 2,404
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Yes bagah! Upo calabash nini?
   
 11. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #11
  Mar 8, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  natamani ningejua wanaochunguliaga humu ni wakina nan?kwa utam wa JF haiwezekani mtu akapita kav kav...hata acheke basi...ebo!
  your highness SI Unit
   
 12. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #12
  Mar 8, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  ...bia moja hainitoi roho mupe...umenisahau?
  mmliki mwenyewe nimeambiwa ni the "LATE"
   
 13. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #13
  Mar 8, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  ndetichia and 199 like this post
   
 14. S

  SI unit JF-Expert Member

  #14
  Mar 8, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 1,938
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Your majest sir!
   
 15. Amyner

  Amyner JF-Expert Member

  #15
  Mar 8, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 2,404
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Mi mwenyewe ningeshangaa hayo mambo ya kukimbilia ofa umeanza lini..lol
   
 16. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #16
  Mar 8, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  uishi milele mkuu...
   
 17. WiseLady

  WiseLady JF-Expert Member

  #17
  Mar 9, 2012
  Joined: Jan 22, 2010
  Messages: 3,248
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  sawasawa
   
 18. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #18
  Mar 9, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Umeona faida ya kutupa jiwe gizani? Umegonga wenyewe !
  Wameanza kujitaja ! Mi sikudhani kama wapo humu Kunguru wa visiwani .
   
 19. SALOK

  SALOK JF-Expert Member

  #19
  Mar 9, 2012
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 2,674
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Bagah! Bagah..!! Hebu nisikize kidogo, wengine tunapenda tu kusoma na kuchukua maujuzi kisha haooo tunatokomea zetu, hii changia changia sometimes inadhuru unaweza jikuta umechangia sicho ukalamba ban, jela noma!
   
 20. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #20
  Mar 9, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  hahahhaaaa...SALOK bana,huwezi kuwa na kinywa kinenacho matukano kila wakati mtu wangu.
  mchango wako tunautaka mtu wangu...mwisho wa siku jukwaa linabaki la watu fulani tu...haipendezi.
  jela kubaya nakubali!
   
Loading...