Nimeshuhudia njia nzima tangu Dar hadi Tunduma,Zambia njia yote hadi Drc wakisambaza cable,huenda ikaleta mapinduzi makubwa katika mawasiliano hasa kwa maeneo ambayo mitandao mingine haipatikani
Mmmm..mbona tanga cjawaona hao jamaa????