Vietel Tanzania, mtandao mpya wa Simu

Vietel Tanzania, mtandao mpya wa Simu

365

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2014
Posts
1,377
Reaction score
1,460
Vietel ni mtandao mpya wa Simu kutoka Vietnam ambao unatarajia kuzindua Huduma zake Septemba mwaka huu,mtandao huu kwa sasa wanakaribia kukamilisha zoezi la kutandaza minara nchi nzima.

Vietel ni mtandao ambao unatumia kasi ya 3G na 4G lakini pia garama ya mawasiliano itakua chini kabisa ambapo kila mtanzania atakua na Uwezo Wa kumudu mawasiliano bila tatizo.

Viatell inatarajia kuleta Simu zao za smartphone ambazo watauza kwa bei nafuu kabisa ambapo Simu ya laki mbili wao watauza elfu thelathini.

Viatell itapatikana nchi nzima vijijini na mijini kwa kasi ile ile na ubora ule ule.

Watanzania sasa mmepata mtandao mzuri na wenye faida.

Kwaheri Vodacom, Tigo na airtel
 
Viatell ni mtandao mpya wa Simu Kitoka Vietnam ambao unatalajia kuzindua Huduma zake septemba mwaka huu,mtandao huu kwa sasa wanakaribia kukamilisha zoezi la kutandaza minara nchi nzima.
Viatell ni mtandao ambao unatumia kasi ya 3G na 4G lakini pia garama ya mawasiliano itakua chini kabisa ambapo kila mtanzania atakua na Uwezo Wa kumudu mawasiliano bila tatizo.
Viatell inatarajia kuleta Simu zao za smartphone ambazo watauza kwa bei nafuu kabisa ambapo Simu ya laki mbili wao watauza elfu thelathini.
Viatell itapatikana nchi nzima vijijini na mijini kwa kasi ile ile na ubora ule ule.

Watanzania sasa mmepata mtandao mzuri na wenye faida.

Kwaheli Vodacom,tigo na airtel.

Nasoma mara kadhaa sipati nia na dhumuni lako ...
matapeli wengi huwa na maelezo kama ya kwako ila mwisho wa siku utendaji huja kujaa wizi na ulaghai kibao. kama huamini ngoja wauzindue ....fungua tuuuone...yaliyomo
 
Kwani walipogundua gesi Songosongo walisemaje? Mradi wa wakubwa huu! Sana sana bei yake itakuwa chini kidogo tu. Kwenye biashara huwezi kuwa na bei ya tofauti kubwa na wenzako! Utashitakiwa baraza la biashara
 
Sisi watanzania sijui tumelogwa na kitu gani,huo mtandao ni mpya but mtu anamwaga tu misifa kibao as if anajua kila kitu, tuache propaganda za kijinga ndo zinazotuponza hata kwenye chaguzi zetu na michezo pia propaganda. sasa mnataka kuleta kwenye mitandao ya simu,hebu tuache ujinga huo watanzania tubadilike.
 
Vietel ni mtandao mpya wa Simu kutoka Vietnam ambao unatalajia kuzindua Huduma zake septemba mwaka huu,mtandao huu kwa sasa wanakaribia kukamilisha zoezi la kutandaza minara nchi nzima.

Vietel ni mtandao ambao unatumia kasi ya 3G na 4G lakini pia garama ya mawasiliano itakua chini kabisa ambapo kila mtanzania atakua na Uwezo Wa kumudu mawasiliano bila tatizo.

Viatell inatarajia kuleta Simu zao za smartphone ambazo watauza kwa bei nafuu kabisa ambapo Simu ya laki mbili wao watauza elfu thelathini.
Viatell itapatikana nchi nzima vijijini na mijini kwa kasi ile ile na ubora ule ule.

Watanzania sasa mmepata mtandao mzuri na wenye faida.

Kwaheri Vodacom, Tigo na airtel
Hapo kwenye red, Yaani unatuongopea mchana kweupeeeeee.
 
Hapa Tanzania Kweli Shamba La Bibi
Unasifia Kitu Ambacho Hata Huduma Yake Haijaanza
Aliyekuroga Kweli Kafa Yaani Utabaki Kichaa Milele

Huwezi Kutumia Methali Ya Msonga Japo Kidogo Tu
Akili Ya Kuambiwa Changanya Na Za Kwako! !!
Watu Hapa Wamekuja Kuvuna Pesa Na Vigogo Ndiyo Kampuni Zao Hizo.
 
Viatell wako zambia,uliza mitandao mingine ya kule ina hali gani,peleleza kwanini Rostam Aziz kauza hisa zake za vodacom ,aina ya biashara ni ushindani ili mradi Wewe mwenye kutoa upate faida,wachina mbona hawashitakiwi kwa kuuza bidhaa bei nafuu,nakuhakikishia kama mitandao mingine haitakubali kuacha unyonyaji iliyozoea hakika watafunga virago.
 
Sisi watanzania sijui tumelogwa na kitu gani,huo mtandao ni mpya but mtu anamwaga tu misifa kibao as if anajua kila kitu, tuache propaganda za kijinga ndo zinazotuponza hata kwenye chaguzi zetu na michezo pia propaganda. sasa mnataka kuleta kwenye mitandao ya simu,hebu tuache ujinga huo watanzania tubadilike.
Hahahaha mkuu umeuwa. ...ok acha ije tu ila wasije na moto wa makaratasi waje na moto wa gesi.
syo kampuni miezi miwili tu inakuwa wa natoka nduki
 
Viatell wako zambia,uliza mitandao mingine ya kule ina hali gani,peleleza kwanini Rostam Aziz kauza hisa zake za vodacom ,aina ya biashara ni ushindani ili mradi Wewe mwenye kutoa upate faida,wachina mbona hawashitakiwi kwa kuuza bidhaa bei nafuu,nakuhakikishia kama mitandao mingine haitakubali kuacha unyonyaji iliyozoea hakika watafunga virago.

Well said, Viatel ni moto wa kuotea mbali - nina imani wataleta mabadiriko makumbwa katika nyanja za mawasiliano, kumpuni nyingine za kinyonyaji zitashika adabu - naona baadhi ya wana JF wanamshambulia sana mleta taarifa as if katenda kosa kuwaletea Watanzania goodnews!! Ukweli wa mambo ni kwamba smartphones zinauzwa kwa bei mbaya Tanzania wakati nje kama Vietnam na China ni bei ndogo sana, sasa sijui kwa nini watu wanambeza beza - Mtanzania wa kawaida hawezi kufaidi broadband throughput bila ya kuwa na smartphone ya 3.5/4G kwani Wavietnam wakisema watasaidia Watanzania kwa kuwaletea smartphone zenye bei nafuu wamekosea nini?
 
Kuwekeza kwenye kampuni ya Simu kwa sasa hapa Tanzania ni kutafuta Presha tu
ZANTEL WAMESHINDWA KUTEKA SOKO

SASATEL NA WAO WAMEAMUA KUSANDA

SIJUI SMART TALK HATA HAIJULIKANI NI NINI

WATANZANIA BADO SANA KUHAHAMA MITANDAO WALIYOIZOEA
 
Viatell wako zambia,uliza mitandao mingine ya kule ina hali gani,peleleza kwanini Rostam Aziz kauza hisa zake za vodacom ,aina ya biashara ni ushindani ili mradi Wewe mwenye kutoa upate faida,wachina mbona hawashitakiwi kwa kuuza bidhaa bei nafuu,nakuhakikishia kama mitandao mingine haitakubali kuacha unyonyaji iliyozoea hakika watafunga virago.

Mkuu Mh. Rostam anaona mbali, Wavietnam wataleta madariko makubwa.
 
unajua kilichoko nyuma ya hawa wgnga njaa vietel subiri bomu litalipuka tu hiyo ni kampuni ya wakubwa wa nchi hii dapresdaa and da prime ministeri kampumi imedhaniniwa na serikali, waombe mungu biashara ikubali biashara ikigoma watatafuta pakutokea wasipaone wakati huo ukawa watakuwa magogoni
Vietel ni mtandao mpya wa Simu kutoka Vietnam ambao unatarajia kuzindua Huduma zake Septemba mwaka huu,mtandao huu kwa sasa wanakaribia kukamilisha zoezi la kutandaza minara nchi nzima.

Vietel ni mtandao ambao unatumia kasi ya 3G na 4G lakini pia garama ya mawasiliano itakua chini kabisa ambapo kila mtanzania atakua na Uwezo Wa kumudu mawasiliano bila tatizo.

Viatell inatarajia kuleta Simu zao za smartphone ambazo watauza kwa bei nafuu kabisa ambapo Simu ya laki mbili wao watauza elfu thelathini.

Viatell itapatikana nchi nzima vijijini na mijini kwa kasi ile ile na ubora ule ule.

Watanzania sasa mmepata mtandao mzuri na wenye faida.

Kwaheri Vodacom, Tigo na airtel
 
Kuwekeza kwenye kampuni ya Simu kwa sasa hapa Tanzania ni kutafuta Presha tu
ZANTEL WAMESHINDWA KUTEKA SOKO

SASATEL NA WAO WAMEAMUA KUSANDA

SIJUI SMART TALK HATA HAIJULIKANI NI NINI

WATANZANIA BADO SANA KUHAHAMA MITANDAO WALIYOIZOEA

Vietel ni habari nyingine kabisa,tofautisha na mitandao mingine,wamiliki wa mitandao ya tigo,airtel na Vodacom wamejaribu kuzuia vietel isiingie Tanzania wameshindwa sasa wanajiandaa ama wauze mitandao yao au waifunge kabisa,mana walizoea kutunyonya watanzania sasa tumepata mtandao rafiki kabisa.
 
Administrators na moderators wa Jamiiforums naomba kama inawezekana uzi huu usiondolewe mpaka vietel watakapozindua mtandao wao ili wachangiaje wathibitishe au washuhudie wanayosema juu ya mtandao huu mpya nchini Tanzania.
 
Kweli sijawahi kuona mtandao kwa hapa kwetu unaoanza kwa kusambaza mitambo nchi nzima ndipo wauzindue. Hata Tigo ambao ndio mtandao wa kwanza wa simu za mkononi nchini walianzia Dar na kusambaa miji mikubwa kisha kote Tz. Voda nao hivyo hivyo pia Zain japo hawa wali invest zaidi nje ya miji. Nashindwa kuelewa hawa jamaa (Vietel) wapo na pesa gani maana wameingia na miguu yote wao mwanzo tuu kote kote wanafunga.

Kama kilichoandikwa kwa hii thread ni kweli basi line yao hawa sitaikosa.
 
Back
Top Bottom