Vietel Tanzania, mtandao mpya wa Simu

Vietel Tanzania, mtandao mpya wa Simu

Kuwekeza kwenye kampuni ya Simu kwa sasa hapa Tanzania ni kutafuta Presha tu
ZANTEL WAMESHINDWA KUTEKA SOKO

SASATEL NA WAO WAMEAMUA KUSANDA

SIJUI SMART TALK HATA HAIJULIKANI NI NINI

WATANZANIA BADO SANA KUHAHAMA MITANDAO WALIYOIZOEA

Hao akina smart, Zanteli wanapatikana sana huko Dar kwenu .
 
The state-owned-Viettel Mobile-is planning to double its charter capital to $4.7 billion (VND 100 trillion). The-government has already passed a decree for this.

The announcement came just weeks after Viettel announced its -plan to invest $1 billion in a new 3G mobile phone network in Tanzania, Africa; the country has a fast growing mobile user base.

Viettel plans to offer low-cost smartphones and free 3G internet for schools, hospitals and offices, in Tanzania.

Founded in 2009, the telecom company is wholly owned and controlled by the State. Viettel had charter capital of $2.35 billion (VND 50 trillion) and is responsible for the construction and management of telecommunications network infrastructure in Vietnam.

Viettel manages a diversified investment portfolio, with focus on-telecommunications, information technology, television, post production facilities etc.

With 63 branches across the nation, Viettel has the largest market share (40.62% ) in the mobile phone subscriber bsde. It has 27 subsidiaries where it holfs 100% or 50% equity stake.

Accumulated revenue for the first three quarters in 2014 is $154.6 million (VND 3.3 trillion), up by 6% compare to the same period last year, contributed $7.5 million (VND 160 billion) to the state coffers.
http://www.dealstreetasia.com/stories/viettel-mobile-doubles-charter-capital-to-4-7b-987/
 
Vietel ni mtandao mpya wa Simu kutoka Vietnam ambao unatarajia kuzindua Huduma zake Septemba mwaka huu,mtandao huu kwa sasa wanakaribia kukamilisha zoezi la kutandaza minara nchi nzima.

Vietel ni mtandao ambao unatumia kasi ya 3G na 4G lakini pia garama ya mawasiliano itakua chini kabisa ambapo kila mtanzania atakua na Uwezo Wa kumudu mawasiliano bila tatizo.

Viatell inatarajia kuleta Simu zao za smartphone ambazo watauza kwa bei nafuu kabisa ambapo Simu ya laki mbili wao watauza elfu thelathini.

Viatell itapatikana nchi nzima vijijini na mijini kwa kasi ile ile na ubora ule ule.

Watanzania sasa mmepata mtandao mzuri na wenye faida.

Kwaheri Vodacom, Tigo na airtel
Kwenye mhandisi kulipwa laki 3 ni shidah............
 
Biashara ni SOKO ni hurua, Mwisho wa siku watagawana wateja kwasababu pia wakina Vodacom, Airtel na wenyewe wanajipanga zaidi ili Viatel wakianza waweze kupambana nayo.

Viatel itakuwa mbaya kwa kina SMART, SASATEL kama bado ipo
 
Kweli sijawahi kuona mtandao kwa hapa kwetu unaoanza kwa kusambaza mitambo nchi nzima ndipo wauzindue. Hata Tigo ambao ndio mtandao wa kwanza wa simu za mkononi nchini walianzia Dar na kusambaa miji mikubwa kisha kote Tz. Voda nao hivyo hivyo pia Zain japo hawa wali invest zaidi nje ya miji. Nashindwa kuelewa hawa jamaa (Vietel) wapo na pesa gani maana wameingia na miguu yote wao mwanzo tuu kote kote wanafunga.

Kama kilichoandikwa kwa hii thread ni kweli basi line yao hawa sitaikosa.

Kilichoandikwa ni kweli subiri utaona moto wake,ni mtandao mzuri sana.
 
"simu ya laki mbili watauza elfu thelathini"
 
unajua kilichoko nyuma ya hawa wgnga njaa vietel subiri bomu litalipuka tu hiyo ni kampuni ya wakubwa wa nchi hii dapresdaa and da prime ministeri kampumi imedhaniniwa na serikali, waombe mungu biashara ikubali biashara ikigoma watatafuta pakutokea wasipaone wakati huo ukawa watakuwa magogoni

Hawa vietel siyo waganga njaa ni watu makini kabisa na wana nia ya dhati ya kuwekeza ndo mana minara yao wameweka nchi nzima,yaani uwe kwenye gari au treni utapata mawasiliano njia nzima hakuna sehemu utakosa mawasiliano eti kwasababu ya kukosa mtandao.
 
vietel ni mtandao mpya wa simu kutoka vietnam ambao unatarajia kuzindua huduma zake septemba mwaka huu,mtandao huu kwa sasa wanakaribia kukamilisha zoezi la kutandaza minara nchi nzima.

Vietel ni mtandao ambao unatumia kasi ya 3g na 4g lakini pia garama ya mawasiliano itakua chini kabisa ambapo kila mtanzania atakua na uwezo wa kumudu mawasiliano bila tatizo.

Viatell inatarajia kuleta simu zao za smartphone ambazo watauza kwa bei nafuu kabisa ambapo simu ya laki mbili wao watauza elfu thelathini.

Viatell itapatikana nchi nzima vijijini na mijini kwa kasi ile ile na ubora ule ule.

Watanzania sasa mmepata mtandao mzuri na wenye faida.

Kwaheri vodacom, tigo na airtel

hata mengi na king'amuzi chake cha azam alianza hivyo, leo hii ameshawanasa kibao wanabaki kujilaumu, ninaamin hata viatell hayo ni matangazo tu
 
Viettel Mobile - Mobile network operator company
Viettel Group is Vietnam's largest mobile network operator. It is a state-owned enterprise wholly owned and operated by the Ministry of Defence. As of 2014, Viettel currently has 80,000 employees inside and outside the country. Source: Wikipedia
 
Sasa watu walishaanza eti inamilikiwa na vigogo, wanadhani viatel ni Simba Trust company au meremeta, au Rich-monduli
 
Hata hii mitandao ya simu baadhi ya bei zinapandishwa na serikali tena bila ridhaa ya mitandao yenyewe!

Mfano mambo ya MB 8, vifurushi kulingana bei nk, ni mpango wa serikali ili kupunguza watu kufikishiana habari haraka kwa njia za mitandao na simu.

Hawa pia wanaweza kuja vizuri ila wakakutana na interference ya gvt kuhusu kupandisha bei tukarudi kule kule!
 
Vietel ni mtandao mpya wa Simu kutoka Vietnam ambao unatarajia kuzindua Huduma zake Septemba mwaka huu,mtandao huu kwa sasa wanakaribia kukamilisha zoezi la kutandaza minara nchi nzima.

Vietel ni mtandao ambao unatumia kasi ya 3G na 4G lakini pia garama ya mawasiliano itakua chini kabisa ambapo kila mtanzania atakua na Uwezo Wa kumudu mawasiliano bila tatizo.

Viatell inatarajia kuleta Simu zao za smartphone ambazo watauza kwa bei nafuu kabisa ambapo Simu ya laki mbili wao watauza elfu thelathini.

Viatell itapatikana nchi nzima vijijini na mijini kwa kasi ile ile na ubora ule ule.

Watanzania sasa mmepata mtandao mzuri na wenye faida.

Kwaheri Vodacom, Tigo na airtel

Tunasubiri, Mungu akipenda Septemba tutaona.
 
Hawa jamaa wamejipanga aisee yaani kwenye kila mkoa kuna fully Administration yaani watu wa planning.law.admin.marketing.communicators duuu yaaniii any way tusubili mzigo ujr
 
Kuwaondoa Tigo, Voda na airtel ni ndoto
 
Vietel ni mtandao mpya wa Simu kutoka Vietnam ambao unatarajia kuzindua Huduma zake Septemba mwaka huu,mtandao huu kwa sasa wanakaribia kukamilisha zoezi la kutandaza minara nchi nzima.

Vietel ni mtandao ambao unatumia kasi ya 3G na 4G lakini pia garama ya mawasiliano itakua chini kabisa ambapo kila mtanzania atakua na Uwezo Wa kumudu mawasiliano bila tatizo.

Viatell inatarajia kuleta Simu zao za smartphone ambazo watauza kwa bei nafuu kabisa ambapo Simu ya laki mbili wao watauza elfu thelathini.

Viatell itapatikana nchi nzima vijijini na mijini kwa kasi ile ile na ubora ule ule.

Watanzania sasa mmepata mtandao mzuri na wenye faida.

Kwaheri Vodacom, Tigo na airtel
Unawezaje kujua kitu ni kizuri au kibaya kwa kusikia? Epuka vipimo vya kuambiwa
 
Back
Top Bottom