Vietel Tanzania, mtandao mpya wa Simu

Vietel Tanzania, mtandao mpya wa Simu

Hawa jamaa wamejipanga aisee yaani kwenye kila mkoa kuna fully Administration yaani watu wa planning.law.admin.marketing.communicators duuu yaaniii any way tusubili mzigo ujr

Mbona Musoma hatujaona hiko Kitu mkuu?
 
vietel ni mtandao mpya wa simu kutoka vietnam ambao unatarajia kuzindua huduma zake septemba mwaka huu,mtandao huu kwa sasa wanakaribia kukamilisha zoezi la kutandaza minara nchi nzima.

Vietel ni mtandao ambao unatumia kasi ya 3g na 4g lakini pia garama ya mawasiliano itakua chini kabisa ambapo kila mtanzania atakua na uwezo wa kumudu mawasiliano bila tatizo.

Viatell inatarajia kuleta simu zao za smartphone ambazo watauza kwa bei nafuu kabisa ambapo simu ya laki mbili wao watauza elfu thelathini.

Viatell itapatikana nchi nzima vijijini na mijini kwa kasi ile ile na ubora ule ule.

Watanzania sasa mmepata mtandao mzuri na wenye faida.

Kwaheri vodacom, tigo na airtel

kweli voda na dada zao wametutesa sana.shikamoo vietel
 
Kwanini pamoja na utitiri wa mitandao ya simu hapa nchini,bado kampuni mpya zinataka kuja kuwekeza kwenye simu??Maswali ni mengi kuliko majibu. Mbona nchi zigine kuna simu moja tuu??kwanini wasiende huko??au Tanzania kuna soko sana la sim??au Sheria zetu legelege (dhaifu)???Tunaibiwa sana???
 
Tumechoka na mineno miiiingi, tunataka kuona vitendo sio porojo tu.
 
Mimi naona tatizo la gharama za mitandao ni kodi za serikali hivyo hata vietel watalazimika kuwa na gharama za juu km wengine, tunashuhudia namna makampuni ya TV km azam na dstv wanaongeza gharama kwa sababu ya ongezeko la gharama ya VAT
 
Hawa Tigo wamevyotoa ile Mia mia yao basi ngoja waje hao tuone kama tunaweza kukimbia huko.

Na tunapoelekea kuna siku Mtandao mmoja unaweza kukurupa na kusema hayaa leo Kupiga sim bureeeeeeeeeeeeeee
Hahaha

Maana Zantel kwa huku Zanzibar walikuwa wanaziachia baadhi ya siku kutwa nzimaa,ukiuliza wanasema mitambo inashida.Watu piga sim hadi basi
 
Smartphone ya laki 2 kuuzwa kwa elfu 30? Hiyo siyo smartphone ya laki2 bali ni ya 30k.
 
Vietel ni mtandao mpya wa Simu kutoka Vietnam ambao unatarajia kuzindua Huduma zake Septemba mwaka huu,mtandao huu kwa sasa wanakaribia kukamilisha zoezi la kutandaza minara nchi nzima.

Vietel ni mtandao ambao unatumia kasi ya 3G na 4G lakini pia garama ya mawasiliano itakua chini kabisa ambapo kila mtanzania atakua na Uwezo Wa kumudu mawasiliano bila tatizo.

Viatell inatarajia kuleta Simu zao za smartphone ambazo watauza kwa bei nafuu kabisa ambapo Simu ya laki mbili wao watauza elfu thelathini.

Viatell itapatikana nchi nzima vijijini na mijini kwa kasi ile ile na ubora ule ule.

Watanzania sasa mmepata mtandao mzuri na wenye faida.

Kwaheri Vodacom, Tigo na airtel

Nakurekebisha viettel hawana pack ya 4g wataanza na 3g
 
Vietel wameweka minara sub standard,ni dhahiri wana pewa jeuri na viongozi wa juu wa serikali,
minara yao inagharimu milioni20 tu, na mingi ipo chini na resindential areas,(ktk nyumba za uswazi mingine imejengwa juu ya nyumba kabisa)
wametumia cables kusupport mnara,siyo kama minara ya kampuni nyingine Tanzania,
Radiation Safety haijazingatiwa kabisa.
 
unajua kilichoko nyuma ya hawa wgnga njaa vietel subiri bomu litalipuka tu hiyo ni kampuni ya wakubwa wa nchi hii dapresdaa and da prime ministeri kampumi imedhaniniwa na serikali, waombe mungu biashara ikubali biashara ikigoma watatafuta pakutokea wasipaone wakati huo ukawa watakuwa magogoni

acha uboya wee ndorobo, Viettel ni kampuni inayomilikiwa asilimia 100% na serikali ya Vietnam kupitia wizara ya ulinzi....pumbaaav wewe
 
Kweli sijawahi kuona mtandao kwa hapa kwetu unaoanza kwa kusambaza mitambo nchi nzima ndipo wauzindue. Hata Tigo ambao ndio mtandao wa kwanza wa simu za mkononi nchini walianzia Dar na kusambaa miji mikubwa kisha kote Tz. Voda nao hivyo hivyo pia Zain japo hawa wali invest zaidi nje ya miji. Nashindwa kuelewa hawa jamaa (Vietel) wapo na pesa gani maana wameingia na miguu yote wao mwanzo tuu kote kote wanafunga.

Kama kilichoandikwa kwa hii thread ni kweli basi line yao hawa sitaikosa.

kuna wale walianzaga kusambaza minara tangu 2006(nakumbuka.nilikua dodoma) minara hadi ikaota kutu na tetes zilikua ni kampuni ya rizla oneway, au ndo hii imakuja kivingine???
 
wameshakuja sababsaba twende kununua hizo simu zao maana naona wanauza simu kwa bei rahisi sana namna hiyo
Vietel ni mtandao mpya wa Simu kutoka Vietnam ambao unatarajia kuzindua Huduma zake Septemba mwaka huu,mtandao huu kwa sasa wanakaribia kukamilisha zoezi la kutandaza minara nchi nzima.

Vietel ni mtandao ambao unatumia kasi ya 3G na 4G lakini pia garama ya mawasiliano itakua chini kabisa ambapo kila mtanzania atakua na Uwezo Wa kumudu mawasiliano bila tatizo.

Viatell inatarajia kuleta Simu zao za smartphone ambazo watauza kwa bei nafuu kabisa ambapo Simu ya laki mbili wao watauza elfu thelathini.

Viatell itapatikana nchi nzima vijijini na mijini kwa kasi ile ile na ubora ule ule.

Watanzania sasa mmepata mtandao mzuri na wenye faida.

Kwaheri Vodacom, Tigo na airtel
 
kwanini usimweleweshe mwenzio vizuri mpaka humtusi kiasi hicho ndugu yangu ungemuelewesha vyeama angekuelewa kuliko hivyo ndugu yangu
acha uboya wee ndorobo, Viettel ni kampuni inayomilikiwa asilimia 100% na serikali ya Vietnam kupitia wizara ya ulinzi....pumbaaav wewe
 
vietel wameanza na analogi haya mambo ya kusambaza nguzo yamepitwa na wakati. Minara yao mingi ni fut 2 hawa wameshindwa kabla awajaanza
 
Hawa jamaa wanatisha, mpaka kijijini kwetu wameweka minara yao tena miwili, sijui haina nguvu mbona wameweka miwili tena jirani!
 
Back
Top Bottom