hahaha always done
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 1,329
- 2,249
Afu ukute mchepuko wenyewe ulikuwa dada poa, umewekewa mdhamana jamaa nae kaenda kuchokonoa
Sasa hapo Mke wa marehemu sijui atasikitika ama sijui atachukua uamuzi gani? Maana jamaa kafia Nyumba ndogo!!Mtu mmoja ambaye kwa sasa ni marehehu, Dalali wa mbao Buguruni alifariki usiku wa kuamkia tarehe 17/03/2016 huko Tabata jijini Dar es salaam.
Ripoti ya Daktari inasema marehemu alitumia dose kubwa kuliko uwezo wake ambayo ilimsababishia umauti.
Marehemu alikuwa ameoa/mme wa mtu lakini tukio hili lilimkuta akiwa kwa nyumba ndogo, ambapo baada ya kuona jamaa anaishiwa nguvu na kutokwa na jasho jingi ilimbidi atafute Taxi amuwaishe jamaa hospitalini, lakini bahati mbaya mauti yalimkuta kabla ya kufiki Hospitalini.
Mmoja wa rafiki wa marehemu alisikika akisema; jamaa jana nilikuwa naye tunacheza pool mpaka saa 1:30 jioni, ambapo aliniaga kuwa anaelekea Ilala kuna deal anafuatilia.
Lakini mshikaji alionekana kutokwa na jasho sana kuliko kawaida kumbe alikuwa amekwishatunia hayo madude, alimalizia.
Angalizo: kabla hujatumia hizo dawa ni vyema ukapata ushauri wa Kitabibu.
Mtu mmoja ambaye kwa sasa ni marehehu, Dalali wa mbao Buguruni alifariki usiku wa kuamkia tarehe 17/03/2016 huko Tabata jijini Dar es salaam.
Ripoti ya Daktari inasema marehemu alitumia dose kubwa kuliko uwezo wake ambayo ilimsababishia umauti.
Marehemu alikuwa ameoa/mme wa mtu lakini tukio hili lilimkuta akiwa kwa nyumba ndogo, ambapo baada ya kuona jamaa anaishiwa nguvu na kutokwa na jasho jingi ilimbidi atafute Taxi amuwaishe jamaa hospitalini, lakini bahati mbaya mauti yalimkuta kabla ya kufiki Hospitalini.
Mmoja wa rafiki wa marehemu alisikika akisema; jamaa jana nilikuwa naye tunacheza pool mpaka saa 1:30 jioni, ambapo aliniaga kuwa anaelekea Ilala kuna deal anafuatilia.
Lakini mshikaji alionekana kutokwa na jasho sana kuliko kawaida kumbe alikuwa amekwishatunia hayo madude, alimalizia.
Angalizo: kabla hujatumia hizo dawa ni vyema ukapata ushauri wa Kitabibu.
MmmmhMda mwingine bora nijiridhishe mwenyewe tu napiga LA fasta. Haya yakujifanya fundi mbele ya papuchi haya ndo matokeo yake
Mhhh!!kingerezaaHahaha mkuu, kuna mademu wengine wanahitaji heavy weapon to kill the vibe,sio kila demu she is enjoy one shot.tho may he R. I. P
Nini tena winliciousMmmmh