Vidonge vya viagra vyamtoa mtu uhai

Vidonge vya viagra vyamtoa mtu uhai

Wanawake huwa hawafiki vileleni! Hufekisha tu! Mambo ya kujifua kuwaridhisha wao ni kujiumiza tu!
 
unamaanisha goli la mkono au
LA hasha sijamaanisha hilo Bali lile goli lenyewe kabisa. Tatizo sisi wanaume tunajifanya mafundi kupitiliza. Upo na manzi piga mzigo kwa ewezo basi
 
Katika harakati za kuwafikisha wanawake vileleni vijana huwa hata uhai wao hawauthamini kabisa....wao lengo lao ni kuwafikisha vileleni tu hata kama wao wataishia njiani......
Mkuu umesahau msemo wa wahenga "Punda afe mzigo ufike"?
 
Mleta mada upo sawa kabisa kabla ya kutumia viagra ni bora ukapata ushauri wa kitabibu,kiutaratibu viagra huwa haiuzwi mpaka mnunuzi aonyeshe ushahidi kua amepimwa blood pressure na ipo ok,

kutumia Viagra kabla ya kupima na kujua Bp level yako ni kifo,na wengi wamekufa kwa kutokua na elimu ya hii dawa au kwa uzembe tu wa wauza madawa wasiofuata taratibu za kazi zao, Soma "instruction" ya dawa kabla hujaamua kuitumia au pata ushauri wa Daktari.
 
Hizi mad zingine kama movie vile
Unasoma huku unakumbuka scary movies... Kumbe wale jamaa wana act vichekesho then inakuwa kweli
 
Mimi nanijua siwezi na nilishaachana na mambo ya mapenzi longtime
 
Upungufu wa nguvu nalo ni janga la kitaifa.(kiafya).
 
aisee bora ukojoe dakika moja demu akudharau kuliko hiyo, ngoja akachimbue visiki huko
Hahaha mkuu, kuna mademu wengine wanahitaji heavy weapon to kill the vibe,sio kila demu she is enjoy one shot.tho may he R. I. P
 
Hahaha mkuu, kuna mademu wengine wanahitaji heavy weapon to kill the vibe,sio kila demu she is enjoy one shot.tho may he R. I. P
aisee piga kwa uwezo uliojaaliwa vinginevyo nenda hosp. mbona hili tatizo linatibika tu ila ukitaka shortcut ndo hivyo
 
Back
Top Bottom