fakalava
JF-Expert Member
- Jul 16, 2015
- 4,459
- 6,027
Mtu mmoja ambaye kwa sasa ni marehehu, Dalali wa mbao Buguruni alifariki usiku wa kuamkia tarehe 17/03/2016 huko Tabata jijini Dar es salaam.
Ripoti ya Daktari inasema marehemu alitumia dose kubwa kuliko uwezo wake ambayo ilimsababishia umauti.
Marehemu alikuwa ameoa/mme wa mtu lakini tukio hili lilimkuta akiwa kwa nyumba ndogo, ambapo baada ya kuona jamaa anaishiwa nguvu na kutokwa na jasho jingi ilimbidi atafute Taxi amuwaishe jamaa hospitalini, lakini bahati mbaya mauti yalimkuta kabla ya kufiki Hospitalini.
Mmoja wa rafiki wa marehemu alisikika akisema; jamaa jana nilikuwa naye tunacheza pool mpaka saa 1:30 jioni, ambapo aliniaga kuwa anaelekea Ilala kuna deal anafuatilia.
Lakini mshikaji alionekana kutokwa na jasho sana kuliko kawaida kumbe alikuwa amekwishatunia hayo madude, alimalizia.
Angalizo: kabla hujatumia hizo dawa ni vyema ukapata ushauri wa Kitabibu.