hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,346
- 80,218
hahaaa ambiele na ujanja wote uleee kumbe naye anachapiwa ..ama kwli yle mambo hayana mwenyewjuzi tu hapa Ambiele Kiviele kaleta mada hajui kama mimba yake sasa aje akatae itumi hii kwelii!!...
hahaaa ambiele na ujanja wote uleee kumbe naye anachapiwa ..ama kwli yle mambo hayana mwenyewjuzi tu hapa Ambiele Kiviele kaleta mada hajui kama mimba yake sasa aje akatae itumi hii kwelii!!...
Usihamishe mada wewe!![emoji2] hata wewe unaweza chapiwa tofauti hujaambiwa tu ana mimbahahaaa ambiele na ujanja wote uleee kumbe naye anachapiwa ..ama kwli yle mambo hayana mwenyew
Hili sio la kuuliza, for sureMwanaume atakayevitumia ataishia kuwa shoga
hahaaaa ....mimi sio mjanja kama ambikile ...so hata nikichapiwa nisawa tu ...hahaaa "" yaani nisawa sawa usikie kuwa president kachapiwa. ndio ilivyo kwa ambikile ...haaaahaaaUsihamishe mada wewe!![emoji2] hata wewe unaweza chapiwa tofauti hujaambiwa tu ana mimba
Hahaha wavilete chap..hahaaaa ....mimi sio mjanja kama ambikile ...so hata nikichapiwa nisawa tu ...hahaaa "" yaani nisawa sawa usikie kuwa president kachapiwa. ndio ilivyo kwa ambikile ...haaaahaaa
kabisaa mkuuHahaha wavilete chap..
Kauli yako mshana ina asilimia nyingi za kuwa kweli kwa mtazamo wangu......dah wapi tunaelekea!.Mwanaume atakayevitumia ataishia kuwa shoga
Zinaweza kugawanywa kama peremende buuure bwerere tuyabugie yatudhuruSio dar pekee ...mpaka kijijini kwenu vitauzwa
Nahuja! hivi bado hujaujua mpango wao?Wazungu sijui wana mpango gani na ngozi nyeusi!!!!!
wanaume hatuna haja ya izo vitu vya kihanith ,kama umeshindwa kuwithdraw , bora uwe padre
Mwanaume atakayevitumia ataishia kuwa shoga
Vidonge vya kuzuia mimba maalumu kwa wanaume viko mbioni kupatikana.
Hii imekaeje Je ? Nisahii mwanaume kutumia vidonge vya uzaz Wa mpango, endapo vitaruhusiwa rasmi?
Hahahaaa[emoji23][emoji23][emoji23]
Ole wao watakaovitumia
Wasijesingizia hukuwaambia...
"Nilikua nasubiri vibwengo wakojoa kama kuku waje kuropoka ,,,,gem yako ya sekunde mbili utawithdraw saa ngapi ?hutokaa uweze hii ni wababe wachache mjini tunaiwezaHahaha! Ku-withdraw mambo ya shuleni, unadanganya nita withdraw halafu unaseleleka tu hadi drop za mwisho! Kama kuna wanawake watu wazima wanakubali kuzuia mimba kwa ku-withdraw basi kwa kweli nawaonea huruma!
Hivi wewe Unbounced una miaka mingapi lakini, uko form two?
Alafu mwanamke atakunywa nini?? Yeye si ndio mbeba mimba? Au kuna wanaume wanashika mimba siku hizi??Vidonge vya kuzuia mimba maalumu kwa wanaume viko mbioni kupatikana. Chuo Kikuu cha Washington tayari kimefanyia majaribio dawa hizo kwa kutumia nyani na kupata matokeo makubwa. Sasa hivi, majaribio yanaendelea kwa binadamu na matokeo ya utafiti yanatarajiwa kutolewa muda si mrefu na chuo hiko.
Hii imekaeje
Je ? Nisahii mwanaume kutumia vidonge vya uzaz Wa mpango, endapo vitaruhusiwa rasmi?