Vidonge vya kuzuia mimba kwa wanaume

Vidonge vya kuzuia mimba kwa wanaume

Siku hazifanani mkuu, na ndiomaana kuna tofauti kubwa kati ya Mbingu na ardhi, mafuta na maji, chungu cha kupikia na chungu ukimeza.....tehteehh
Sitii neno tena kiongozi! [emoji40] [emoji40]
 
Ni pale unapotumia vidonge halaf kuna kadada kanakwambia nina mimba yako...
 
Vidonge vya kuzuia mimba maalumu kwa wanaume viko mbioni kupatikana. Chuo Kikuu cha Washington tayari kimefanyia majaribio dawa hizo kwa kutumia nyani na kupata matokeo makubwa. Sasa hivi, majaribio yanaendelea kwa binadamu na matokeo ya utafiti yanatarajiwa kutolewa muda si mrefu na chuo hiko.

Hii imekaeje
Je ? Nisahii mwanaume kutumia vidonge vya uzaz Wa mpango, endapo vitaruhusiwa rasmi?
Vitaleta shida sana maana mimba nyingi tutazikagaa kwa kisingizio cha dawa
 
Wanaume watakao vitumia, wajiandae kwa mabadiliko ya mwili kama kuongezeka matiti, kuongezeka kwa makalio, hips na kadhalika....tehteehh
Na watakuwa maboya au wanaoshinikizwa na mashangingi yao.
Ni hatari sana kumdumaza mwanaume; kudumaza kichwa cha familia.
 
Vidonge vya kuzuia mimba maalumu kwa wanaume viko mbioni kupatikana. Chuo Kikuu cha Washington tayari kimefanyia majaribio dawa hizo kwa kutumia nyani na kupata matokeo makubwa. Sasa hivi, majaribio yanaendelea kwa binadamu na matokeo ya utafiti yanatarajiwa kutolewa muda si mrefu na chuo hiko.

Hii imekaeje
Je ? Nisahii mwanaume kutumia vidonge vya uzaz Wa mpango, endapo vitaruhusiwa rasmi?
Hii itakuwa powa sana, nimeiwaza jana tu kumbe inawezekana? Afadhali aisee maana kuna videmu unajua asimia mia kuwa viko salama kugonga without lakini kikwazo ni mimba unajikuta unavaa naniii kwa shingoupande tu wala huinjoi kabsaaa.
 
Back
Top Bottom