Vidonge vya kuzuia mimba kwa wanaume

Vidonge vya kuzuia mimba kwa wanaume

Mungu sio mjinga kumu umba mwanaume awe anatoa Wazungu[emoji28][emoji28] Wazungu wetu huwa hawataki misuko suko. Ukiwanyanyasa kidogo tu uta ambiaa Huna uwezo wa kurutubisha [emoji28][emoji28] Mimi natema cheche tu
 
Vidonge vya kuzuia mimba maalumu kwa wanaume viko mbioni kupatikana. Chuo Kikuu cha Washington tayari kimefanyia majaribio dawa hizo kwa kutumia nyani na kupata matokeo makubwa. Sasa hivi, majaribio yanaendelea kwa binadamu na matokeo ya utafiti yanatarajiwa kutolewa muda si mrefu na chuo hiko.


Hii imekaeje
Je ? Nisahii mwanaume kutumia vidonge vya uzaz Wa mpango, endapo vitaruhusiwa rasmi?
wanaume hatuna haja ya izo vitu vya kihanith ,kama umeshindwa kuwithdraw ,kutumia mpira au kusoma kalenda ya mwanamke wako bora uwe padre kuliko kudistab mfumo wako wa hormone kwa madawa na tusipokuwa makini watu wa kujaribishia tutakua ngozi nyeus
me
 
Wangeboresha tu dawa kwa ajili ya akina Mama, wao ndio wanapswa ku control hii mambo.

Mijianaume imeshazoea kuwa bully, kumeza atakataa na ukimwambia imenasa anatoka nduki.
 
Hawa Wazungu wapumbavu wana mpango WA katumalza kabsa
 
Naogopa mimba zaidi ya ninavyouogopa UKIMWI sasa kama hiyo dawa ipo secured ntakuwa mteja wao!!..Hata wakati condom inatambulishwa kuna watu walisema "tunavaa utumbo" madhara yake "kutosimamisha!"..
Sawa na kupata ukimwi ilivyookuwa ni ugonjwa wa kurogwa sawa na watu kuogopa pita juu ya daraja mara ya kwanza duniani mpaka mgunduzi akampitisha tembo kuwahakikishia ni salama!.. Kifupi tuna WOGA lakini in times tutavitumia tu!..
 
Back
Top Bottom