Vidonge vya kuzuia mimba kwa wanaume

Vidonge vya kuzuia mimba kwa wanaume

Mwanaume atakayemeza hicho kidonge sijui kama atapatikana Tanzania labda Wazungu. Side effects zake ni zipi?

Shughuli pevu ngoja na wao wafumuke miili na kuwa na shepu kama simtank
 
Chuo Kikuu cha Washington tayari kimefanyia majaribio dawa hizo kwa kutumia nyani na kupata matokeo makubwa. Hii imekaeje

Imekaa vibaya. Vidonge vya kuzuia mimba wanaume wanajaribiwa nyani, kwani nyani ndio wanaowapa mimba wanawake wetu?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Ok, bila shaka mrejesho wako utaambatana na namna utakavyokuwa unatumia hivyo vidonge vya kuzuia mimba.
Lahaulaaa lakwata.....[emoji47] [emoji47] [emoji47]
Ebu ngoja niishie hapa wallah
 
Mwanaume atakayemeza hicho kidonge sijui kama atapatikana Tanzania labda Wazungu. Side effects zake ni zipi?
Lazima zitakuwepo labda kutanuka kwa kifua na kuota nyonyo
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom