Tiba ya Bawasiri

Tiba ya Bawasiri

Joined
May 18, 2026
Posts
9
Reaction score
0
1. BAWASIRI FLUIDS

🟢Hii ni dawa yenye mfumo wa Kimiminika inayotumika kwa kupaka sehemu ya haja kubwa na kupelekea kufyonza na kuondoa kabisa seli zilizocharuka na kufanya uvimbe kuwa nje ama tayari Bawasiri ( Hemorrhoids or piles) inatoa maji maji kama usaha Itakauka vizuri. Kama uvimbe uko kwa Ndani, unashauriwa kupaka tu sehemu ya nje ya ngozi na Dawa itafyonzwa na kuingia ndani.

🟢Kinachofanyika hapa mara nyingi ni kuimarisha kuta za veins sehemu ya haja kubwa mara baada ya kuharibika na kudhoofishwa kwa kulika na Vimeng’enya kama vile Hyaluronidase na Elastase zinazokula ukuta wa Mishipa ya damu eneo la haja kubwa na ndiyo maana Kama mtu ana uzito mkubwa sana, au choo Kigumu mara nyingi au vidonda vya tumbo Huongeza mgandamizo sehemu ya haja kubwa na kupelekea kuvimba ama kupasuka kwa mishipa ya damu aina ya veins na kuanza kuota kwa kinyama ambacho ndiyo huitwa Bawasiri.

2: BAWASIRI POWDER.

🟢Kwa sababu karibu asilimia 80, ya wagonjwa wote wenye tatizo hili vyanzo vyake ni kama vinafanana,, na hususani Vidonda vya TUMBO SUGU, Choo Kigumu kwa muda mrefu sana, pamoja na Asidi nyingi tumboni au Helicobacter pylori wanaosababisha Ugonjwa wa vidonda vya TUMBO. Tuliamua kuzitengeneza Dawa hizi ili zishughulikie mfumo wa mmeng’enyo wa chakula na kupelekea kupata choo rahisi wakati wa matibabu yetu. Na hivyo mgonjwa Atatumia Bawasiri Powder ambayo hata kama kiuno kinauma na kuwaka moto, kujisaidia choo chenye damu. The Hermorroidal Powder is specifically purposed to strengthen the varicose tissue of the Hermorroidal plexus. Zenye kuvuja damu na Ndiyo nguzo ya kutibu Bawasiri yako ya ndani.

🟢TUPO ILALA MTAA WA PANGANI KARIBU NA MAHAKAMA YA MWANZO DARESALAAM.


🟢MIKOANI UTAHUDUMIWA HUKOHUKO BILA WASIWASI KABISA.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom