Vidonda mdomoni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vidonda mdomoni

Discussion in 'JF Doctor' started by Noname, Feb 23, 2010.

 1. Noname

  Noname JF-Expert Member

  #1
  Feb 23, 2010
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,269
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  How do I cure a sore mouth? I dont know what is the medical word for this but hii week nime experience vidonda karibu na my lips.. not inside. what causes this? is it kinda of infection? how do I cure this?


  Thanks
   
 2. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #2
  Feb 23, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,320
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  Do you fancy oral sexy? Tuanzie hapo
   
 3. Noname

  Noname JF-Expert Member

  #3
  Feb 23, 2010
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,269
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  No Man I dont :rolleyes: am serious..
   
 4. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #4
  Feb 23, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,850
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Tumia Vitamin B 2, ama kwa jina lingine Vitamin B complex
   
 5. Mr Kiroboto

  Mr Kiroboto JF-Expert Member

  #5
  Feb 23, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 321
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Kitaalam tunaita stomatitis,there so many causesof stomatitis.Kama hilo tatizo linakusumbua sana nenda hospital kamuone stomatologist(Daktari wa kinywa na magonjwa yanayohusiana na kinywa)
   
 6. Mr Kiroboto

  Mr Kiroboto JF-Expert Member

  #6
  Feb 23, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 321
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  mkuu,vitamin B 2 SIYO Vitamin B complex.Vitamin B 2 is a component of vitamin B complex.
   
 7. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #7
  Feb 23, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,091
  Likes Received: 243
  Trophy Points: 160
  Ukienda hosp usisahau kupima na magonjwa makubwa, ok?
   
 8. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #8
  Feb 23, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,850
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  asante kwa ufafanuzi na elimu mwanana , ila daktari alienitibu mimi tatizo kama hilo , aliniaminisha hivyo, maana alisema ikiwa utapata Vitamin B 2 ama Vitamin B complex tatizo langu litakuwa limeisha.
  ila nilinunua B complex na tatizo likaisha kabisa na mpaka leo ugonjwa huo ni historia.
   
 9. saitama_kein

  saitama_kein JF-Expert Member

  #9
  Feb 23, 2010
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 984
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nafikiri ndg yangu utakuwa na stress fulani...pengine familia au maisha yetu ya kibongo! Well cha kufanya hebu tafuta dawa hii "BUNGELA PAINT" sina hakika na spelling ila ukifika pharmacy watajie watajua tu! Pharmacy kubwa plz sio duka za dawa baridi eeh?
   
 10. Noname

  Noname JF-Expert Member

  #10
  Feb 23, 2010
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,269
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  thank u man ur advice is highly appreciated...
   
 11. Noname

  Noname JF-Expert Member

  #11
  Feb 23, 2010
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,269
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Inaweza kuwa stress mhhh...u could be right... But i am not in Tanzania so i guess i cant get that name here but i appreciate ur input...
   
 12. Noname

  Noname JF-Expert Member

  #12
  Feb 23, 2010
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,269
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Now u sounds like a really doc... This problem just started _3 or 4 days back i wanted a quick solution... But if it get serious i will take ur advice to c a doc... Thanks doc
   
 13. Noname

  Noname JF-Expert Member

  #13
  Feb 23, 2010
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,269
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  wewe nae umeanza kuniharibia siku bwana.... Hakuna bana am clean....
   
 14. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #14
  Feb 23, 2010
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  ........Pole sana kwa hili tatizo ndugu.
  Kama vidonda karibu na lips au mdomoni kwa kitaalam vinaitwa cold sores au fever blisters ni matokeo ya herpes simplex type 1 virus. Inawezekana immune system yako ipo weak, kwa matibabu mazuri inabidi ukamuone daktari.

  Kuna type 2 herpes virus (HSV2) hii sasa ni sexual transmitted diseases, lakini sidhani kama unayo hii.

  Vile vile unaweza kufanya natural remedies kama unayo hiyo cold sores,chukua ice weka hapo kwenye vidonda kwa muda wa dakika kadhaa rudia rudia mara kadhaa kwa siku.

  Kula matunda na mboga za majani kwa wingi maana zina vitamins na madini kama iron na zinc ambazo zinaweza kujenga immune yako system kuwa nzuri.
   
 15. Mgeninani

  Mgeninani Senior Member

  #15
  Feb 24, 2010
  Joined: Jan 3, 2010
  Messages: 191
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Probably it is Herpes simplex virus usually we harbour them and they erupt when we have other infections like malaria, see your doctor for more advice
   
 16. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #16
  Feb 24, 2010
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 55,478
  Likes Received: 19,755
  Trophy Points: 280
  Wakati mwingine husemekana ni ukosefu wa kula matunda...lakini kama unapata matunda ya kutosha basi ni kitu kingine na kama hali inazidi kuwa mbaya kamuone Dr. haraka, kila la heri.
   
 17. Lekanjobe Kubinika

  Lekanjobe Kubinika JF-Expert Member

  #17
  Feb 24, 2010
  Joined: Dec 6, 2006
  Messages: 3,067
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Ongeza bidii ya kupiga mswaki, kisha sukutua kwa maji ya chumvi mara kwa mara, au tumia Medi-oral mouthwash ni kama 2000/- medical store yoyote utaipata.

  very quickly unaweza kuwa na mawazo sana, au ulikuwa na homa, kiasi kwamba immunity yako ikasheck kiasi na mwili unajibu mapigo kupambana na hali hiyo. Ikishuka immunity yako kidogo kitu cha kwanza kukutaarifu wewe ni mdomoni na vidonda. Lakini kama unasema lips huenda ikawa traumatic cause - labda umemmmmmvuuu! mtu au kakummmvuuuu! kwa nguvu, unapofanya hivyo usitumie jazba sana kuepusha hayo.

  medically the cause could be either local instigation or systemic health sign. Mara kwa mara tunashauri kutokuwa na haraka kuvamia antibiotics kwa sababu inaishia yenyewe ukiondoa chanzo. Just observe, tumia local treatment kwa maana ya mouthwash. Usipopiga mswaki muda mrefu pia tegemea vidonda mdomoni, ingawa pia ukioverdo lupiga mswaki unajitengenezea vidonda.

  Ukitaka specifics ni vema umuone daktari wa kinywa na meno aliye karibu nawe, sema naye. Sio tatizo kubwa, inapaswa kuisha within a week. kama pamoja na jitihada hizo bado vimekung'ang'ania, kashitaki kwa dentist atavirudi.
   
 18. L

  Lusyonja Member

  #18
  Feb 24, 2010
  Joined: Jul 21, 2008
  Messages: 15
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Saitama-kein,
  Dawa ya kumsaidia huyu mgonjwa inaitwa BONJELA hii inapatikana katika maduka ya dawa makubwa, pia ni bei mbaya(relatively) na ukiweka ktk kidonda inauma sana dk 2 za mwanzo.
  Katika maduka ya kawaida utapata dawa ya tube inaitwa ORREPASTE .Zote dawa hizi ni mswano sana na hii ya pili wal haiumi kwa kuwa ina methyl & Propyl parabens.Ukipaka kwa siku 1-2 hupona kabisa.
  Hii inatibu kwa haraka sana hata vidonda vya ndani na nje ya kinywa.
   
 19. Noname

  Noname JF-Expert Member

  #19
  Feb 24, 2010
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,269
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  point taken and thanks for your input... yes could be right my immune system could be weak... I will have to go for medical check up... my condition is not worse now but the sore still there
   
 20. Noname

  Noname JF-Expert Member

  #20
  Feb 24, 2010
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,269
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  mmh i dont think you understood my condition... the sore isnt not inside my mouth... not on my lips either but its around the mouth... but thanks anyway appreciate your concerns.

  what u mean umemmmmmvuuu mtu or kakummmvuuuu... :D its sounds funny though...
   
Loading...