Vidonda mdomoni na kwenye koo. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vidonda mdomoni na kwenye koo.

Discussion in 'JF Doctor' started by GAM, Apr 12, 2012.

 1. G

  GAM Member

  #1
  Apr 12, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  NINA TATIZO LA KUWA NA VIDONDA MDOMONI NA KWENYE KOO KWA ZAIDI YA MWEZI SASA, NIMEKWENDA HOSPITALI NIMEPEWA VIDONGE AINA YA AMOKSRINE NA AINA NYINGINE YA ANTIBAYOTIKI PIA NA DAWA YA MAJI YA MATONE LAKINI NAFUU NIMEIPATA KIDOGO. JE KUNA MWENYE UJUZI WA TATIZO HILI NAOMBA MSAADA WENU WANA JF.:nod:
   
 2. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #2
  Apr 12, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,165
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Pole kamanda.
  Ngoja waje doctors wakusaidie!
   
Loading...