mmh! basi itakuwa kuna tatizo labda!Wamefuta kwa maji na sprit lakini haijasaidia
Je unafanya kazi gani za nguvu zinazotumia mikono zaidi?Msaada wataalam.
Vidole vya mikono yangu vimeshindikana kusomeka kwenye mashine za biometric wakati wa kusajili laini za simu, nimejaribu zaidi ya vituo 4 lakini imeshindikana.
Naomba msaada ni kitu gani kinasababisha hali ya aina hii kujitokeza, na nifanye nini au nile vyakula au dawa za aina gani kusaidia vidole kusomeka.
duuh basi pole mkuu jitahidi uwe unaviweka videle vyako katika hali ya unyevuunyevu hali itarudi kama kawaida.Hapana sijawahi kuuguwa ugonjwa wowote wa ngozi
Vidole mfu angalia juani kama una vivuli vitatu.. Kikipungua kimoja basi ujue hata Vidole havitaweza kusoma popoteMsaada wataalam.
Vidole vya mikono yangu vimeshindikana kusomeka kwenye mashine za biometric wakati wa kusajili laini za simu, nimejaribu zaidi ya vituo 4 lakini imeshindikana.
Naomba msaada ni kitu gani kinasababisha hali ya aina hii kujitokeza, na nifanye nini au nile vyakula au dawa za aina gani kusaidia vidole kusomeka.
Msaada wataalam.

Unafanya kazi gani?Msaada wataalam.