Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 269,633
- 697,782
Vivuli hivi vitatu havionekani muda wote bali wakati wa jioni jua linapozama au usiku kwenye mbalimwezi angavu
Kivuli kidogo kabisa
Kivuli cha kati
Kivuli cha nje
Hiki kidogo kabisa ni kivuli cha ndani ni nafsi (roho + mwili )hiki ndio kinabeba utu au uhai kwa maana nyingine. Ni kupitia kivuli hiki ndio mambo yote ya kudhuru mwili hufanyika, ndio mzizi wa vivuli vyote
Kivuli cha kati ni daraja kati ya kivuli kidogo na kile kikubwa, yani ni kiunganishi kati ya roho na mwili. ndio hiki ambacho hutumika kuleta uhai tiba au marekebisho kwa kivuli kidogo kilichotekwa kufungwa au kuharibiwa kwa namna yoyote ile
Kivuli kikubwa hiki ni kivuli mwili kivuli cha kawaida kivuli kinachoonekana muda wote...hiki ni kivuli kinachobeba mwili uharibikao na kupotea ni kivuli jumba cha vivuli vingine vyote
Kama ilivyo nafsi tatu katika mwili mmoja (me myselfand I)ndio hivyo hivyo ilivyo hata kwenye vivuli vya mwili wako
NB: mada hii ni kwa msaada mkubwa wa dada divine...