Vidole vyangu havisomeki kwenye machine za biometric

Kama vidole vyako Avina magaga vipo kama vya watu wengine na huko Dar esalaam jumatatu njoo ofisi Tigo kuna kijana nitaongea naye kwanza ila no yake 0756314063 maana kuna alikuwa na shida kama lako akalitatua
 
Vidole mfu angalia juani kama una vivuli vitatu.. Kikipungua kimoja basi ujue hata Vidole havitaweza kusoma popote


Mkuu mmmh, mbona inaogopesha
 
Umepiga sana punyeto mpaka alama za vidole zimefuutika inabidi uende kwa fundi Akuchore upya
 
mkuu pole sana. ila najiuliza utakuwa raia wa nchi gani maana mambo siku izi ni digital .talk sense to ur vidole mwambie waache ujinga ya analog.
 
Hapo kuna sababu 2 za msingi mikono yako ni milaini sana imeathiliwa na lotion Kali unazotumia kujipodoa, au mikono yako ni migumu sana imeathiliwa na kazi ngumu unazofanya
 
Back
Top Bottom