Vidole vyangu havisomeki kwenye machine za biometric

Je unafanya kazi gani za nguvu zinazotumia mikono zaidi?
Kulima KWA jembe LA mkono?kugonga kokoto? Kuchoma mkaa, kuchanja kuni KWA shoka?

Inavyoonekana tatizo ni kwamba, mikono yako unaishughulisha sana NA kazi ngumu ngumu za kutumia nguvu, hivyo ngozi ya viganjani imekomaa na kukakamaa sana. Kiini cha tatizo ni lazima itakuwa hii, endapo kama haujawahi kuugua ugongwa wowote ule ambao umeathiri ubora wa ngozi yako ya kwenye viganja, e.g.ukoma.

Mimi ni mhasibu muda wote niko ofisini
 
Msaada wataalam.

Vidole vya mikono yangu vimeshindikana kusomeka kwenye mashine za biometric wakati wa kusajili laini za simu, nimejaribu zaidi ya vituo 4 lakini imeshindikana.

Naomba msaada ni kitu gani kinasababisha hali ya aina hii kujitokeza, na nifanye nini au nile vyakula au dawa za aina gani kusaidia vidole kusomeka.
Wewe ndio ulipeleka mbuzi mweupe Kwa chatu wa chato?
 
Je unafanya kazi gani za nguvu zinazotumia mikono zaidi?
Kulima KWA jembe LA mkono?kugonga kokoto? Kuchoma mkaa, kuchanja kuni KWA shoka?

Inavyoonekana tatizo ni kwamba, mikono yako unaishughulisha sana NA kazi ngumu ngumu za kutumia nguvu, hivyo ngozi ya viganjani imekomaa na kukakamaa sana. Kiini cha tatizo ni lazima itakuwa hii, endapo kama haujawahi kuugua ugongwa wowote ule ambao umeathiri ubora wa ngozi yako ya kwenye viganja, e.g.ukoma.
Ni kazi ngumu ndo chanzo manake ngozi inakakamaa na kuondoa ile mistari halisi ya vidole
 
Duhh..

Hebu ngoja nikasome aisee
Vidole mfu angalia juani kama una vivuli vitatu.. Kikipungua kimoja basi ujue hata Vidole havitaweza kusoma popote

Msaada wataalam.

Vidole vya mikono yangu vimeshindikana kusomeka kwenye mashine za biometric wakati wa kusajili laini za simu, nimejaribu zaidi ya vituo 4 lakini imeshindikana.

Naomba msaada ni kitu gani kinasababisha hali ya aina hii kujitokeza, na nifanye nini au nile vyakula au dawa za aina gani kusaidia vidole kusomeka.

Labda vinauchafu au mafuta.
Nakushauri vifanyie usafi vizuri na akikisha havina dalili yeyote ya mafuta.
 
Poleee,
nilivyotaka kukuuliza au kukushauri naona umeulizwa na karbun vyote umejaribuu,
ambacho ningekushauri
1. kumbuka kupaka maji vidole ni kuloamisha ila si kukipa kidole unyevu unyevu wa asili,
kwaio km ni dehydration- kunywa maji ya kutosha kuanzia leo.
2. Kuanzia leo anza kupaka vidole mafuta yenye sifa ya unyevu unyevu(moisture) hua wanakuandikia kbsaa, kabla tuu ya kuosha mikono yako.
3. Siku ya kwenda kufanya fingerprint usilowanishe vidole vyako hasa kwa maji ya chumvi.
4. Ukifka eneo la tukio relax kbsaaaa,
5. hio mistari kwenye kidole chako ipojee? Jee ni mikubwa? Kama ndio ukifka usigandamize sana maana itakua flat na hivyo kuingiliana,
kama ni mi dogo ukifika kandamiza kiasii.

Nakushauri pia, kabla hio siku hujaenda basi anza kujaribu kwa kutumia simuu mpk ikubali, NARUDIA TENA; UKIFIKA RELAAAAX
 
Back
Top Bottom