Did it irk you Yo Yo?...No, it souldnt bana!Una backup copy unitumie.....plz....
hell noooooooo.....
Sasa we gurudumu niaje bana chali angu mbona unaniangusha.
Tuelekeze pa kuzipata au tuelekeze kwako mkuu tuzifuate......usiogope mwana hamna mwenye haja ya kukujua.
Just tupe maelekezo
keyness, yaani unanikumbusha mbaaaali, enzi za sekondari!
mkuu nchi nyingine hua ni wabunifu sana ..........kwenye mgomo au maandamano yoyote wajasiria mali hua wanatengeneza vipeperushi na mabango so waandamaji wananunua kwa bei nzuri ili kutia chachu kwenye maandamano.
My point:
HIYO CD IWEKENI VIZURI NA PIGENI COPY ZA KUTOSHA THEN IINGIZENI SOKONI KAMA MOVIE NYINGINE!!!....I believe mtauza balaa na pia mtaelimisha sana umma.
.....
Si tulio Arusha tukutafute wapi mkuu tupate copy.......nakubaliana na wewe keyness, ndicho kilichofanyika na ndivyo nilivyoipata. ndo maana nikatoa taarifa hapa watu wachakarike kuisaka. mimi siyo muhusika
hapo vipi, umenipata?
OK; Mkuu tupo pamoja.nakubaliana na wewe keyness, ndicho kilichofanyika na ndivyo nilivyoipata. ndo maana nikatoa taarifa hapa watu wachakarike kuisaka. mimi siyo muhusika
hapo vipi, umenipata?
uhondo gani sasa?sasa si wa mbali ndo tumekosa uhondo huo??? gurudumu tafadhali tafuta namna nyingine ya kupost kiusalama ili tupate hiyo taarifa muhimu
siku ya mazishi nilihisi wewe ni polisi (shushu) sasa hisia zangu mara nikanza kuamini wewe ni mpiganaji lakini kwa uoga huu kuna kila dalili kuwa wewe ni kati ya waliotuua tarehe 5-jan-2011...keynes, kwa kweli siwezi kutoa hint zaidi ya ambazo tayari nimeshatoa kwenye hii thread. nasikitika siwezi kusaidia zaidi mama, pole
nimepata cd mbili kutoka source tofauti ambazo watu wamefanya compilation ya matukio ya arusha kuanzia maandamano, mahakamani, na mazishi. Inaonekana ni clips zilizochukuliwa kutumia vyombo mbali mbali lakini wote siyo wataalamu wa kufanya hiyo kazi. Pia inaonekana ni matukio ambayo yamechukuliwa katika mazingira mbali mbali, yaani huku watu wakikimbia, wamesimama, labda wengine walikuwa majumbani au madukani au ofisini mwao, n.k
binafsi nimevulia kofia matumizi ya technolojia ya kisasa, yaan simu, digital camera, na vyombo vingine. Pia nimevulia kofia waliounganisha hivyo vipande kiasi kwamba hatuhitaji kuandika historia ya jambo fulani kwa kutegemea kilichoripotiwa na vyombo vya habari tu au vyombo vya dola.
Kwa ujumla ni hali ya kutisha. Lakini ni ishara kwamba serikali bado iko kwenye karne ya nyuma sana. Karne ambayo ni serikali tu ndiyo iliyokuwa na mamlaka ya kuchukua kumbukumbu za tukio. Kwamba tukio lisipochukuliwa na waandishi wa habari basi halikutokea. Kwamba waandishi wa habari tu ndio wanaoweza kutoa habari. Karne ambayo kwamba kauli ya serikali ilikuwa ya kweli daima!
huyu jamaa nina wasiwasi nae inawezekana hana ndiyo kwanza anazitafuka maana polisi wana tafuta picha hizo kwa njia zote....au huyu jamaa ni fisi mbaya kabisaacha uoga asante kutupa habari kwamba hizo cd sasa zipo mtaani, tunazihitaji mwanza, dar, mara, rukwa, mbeya, arusha, kagera, kilimanjaro, manyara, kigoma, tabora, basically tanzania nzima ila tuanze na mikoa hiyo tupe direction vizuri zinapatikana wapi -tulishachoka na maisha ya kuburuzwa na kuonwa mabwege, tunataka kuzisambaza kama njugu ili wauaji wajue pakutokea . Tuma nakala moja makao chdema au mpelekee mh. Lema. Kamanda wa vita.
siku ya mazishi nilihisi wewe ni polisi (shushu) sasa hisia zangu mara nikanza kuamini wewe ni mpiganaji lakini kwa uoga huu kuna kila dalili kuwa wewe ni kati ya waliotuua tarehe 5-jan-2011...
huyu jamaa nina wasiwasi nae inawezekana hana ndiyo kwanza anazitafuka maana polisi wana tafuta picha hizo kwa njia zote....au huyu jamaa ni fisi mbaya kabisa
Fungua account mega-upload au tube nyingine yoyote alafu uziupload unaweza ukafungua email account feki alafu ziweke huko thats it then pm people kwamba mzigo tayari...... Easy Peasy japaneselakini kwa nini wewe na PJ mnang'ang'ania sana kuwajua watu. hivi ukikutana na Lowassa utasema ulikuwa unatafuta nini? au ghafula unakuta mimi ni Saidi Mwema? si utakuwa umejikabidhi mwenyewe mkuu? tafadhali tusikae kwenye janvi kama hao watoto wazee (uvccm) waliomtukana Dr. Slaa badala ya kujenga na kujibu hoja.