Vidoe Clips za Matukio ya Arusha

Sasa we gurudumu niaje bana chali angu mbona unaniangusha.
Tuelekeze pa kuzipata au tuelekeze kwako mkuu tuzifuate......usiogope mwana hamna mwenye haja ya kukujua.
Just tupe maelekezo
 
Una backup copy unitumie.....plz....

hell noooooooo.....
Did it irk you Yo Yo?...No, it souldnt bana!
Hayo nilioeleza ni mambo ya zamani baada ya u-teen-ager!...Najua wote mshapita huko, hata kama mmepiga tai nene hapo ofisini...All in all, icant deny my past, nitakuwa napingana pia na present na future yangu!..(worse ni kwamba kama hukupita huko utakuwa ndio sasa hivi unakimbizana na ishu hizi!)..ha ha haaa!:smile-big:
 
Sasa we gurudumu niaje bana chali angu mbona unaniangusha.
Tuelekeze pa kuzipata au tuelekeze kwako mkuu tuzifuate......usiogope mwana hamna mwenye haja ya kukujua.
Just tupe maelekezo

keyness, yaani unanikumbusha mbaaaali, enzi za sekondari!
 
mkuu nchi nyingine hua ni wabunifu sana ..........kwenye mgomo au maandamano yoyote wajasiria mali hua wanatengeneza vipeperushi na mabango so waandamaji wananunua kwa bei nzuri ili kutia chachu kwenye maandamano.
My point:
HIYO CD IWEKENI VIZURI NA PIGENI COPY ZA KUTOSHA THEN IINGIZENI SOKONI KAMA MOVIE NYINGINE!!!....I believe mtauza balaa na pia mtaelimisha sana umma.
 
nakubaliana na wewe keyness, ndicho kilichofanyika na ndivyo nilivyoipata. ndo maana nikatoa taarifa hapa watu wachakarike kuisaka. mimi siyo muhusika

hapo vipi, umenipata?
 
Si tulio Arusha tukutafute wapi mkuu tupate copy.......
 
hehe, usijali kaka, itakuwa umeingia kwenye orodha ya wapigania haki za mtanzania, we tuwekee hapa hiyo kitu nadhani kila mmoja wetu anamunkali ya kujua ishu nzima ilivyokuwa, pengine hata ile idadi ya waliouawa tukajua ilichakachuliwa!:frusty:
 
nakubaliana na wewe keyness, ndicho kilichofanyika na ndivyo nilivyoipata. ndo maana nikatoa taarifa hapa watu wachakarike kuisaka. mimi siyo muhusika

hapo vipi, umenipata?
OK; Mkuu tupo pamoja.
Je wewe umeipatia maeneo gani ili na sisi tuelekee kwenye hayo maeneo???
 
keynes, kwa kweli siwezi kutoa hint zaidi ya ambazo tayari nimeshatoa kwenye hii thread. nasikitika siwezi kusaidia zaidi mama, pole
 
siku ya mazishi nilihisi wewe ni polisi (shushu) sasa hisia zangu mara nikanza kuamini wewe ni mpiganaji lakini kwa uoga huu kuna kila dalili kuwa wewe ni kati ya waliotuua tarehe 5-jan-2011...
 
nimepata cd mbili kutoka source tofauti ambazo watu wamefanya compilation ya matukio ya arusha kuanzia maandamano, mahakamani, na mazishi. Inaonekana ni clips zilizochukuliwa kutumia vyombo mbali mbali lakini wote siyo wataalamu wa kufanya hiyo kazi. Pia inaonekana ni matukio ambayo yamechukuliwa katika mazingira mbali mbali, yaani huku watu wakikimbia, wamesimama, labda wengine walikuwa majumbani au madukani au ofisini mwao, n.k

binafsi nimevulia kofia matumizi ya technolojia ya kisasa, yaan simu, digital camera, na vyombo vingine. Pia nimevulia kofia waliounganisha hivyo vipande kiasi kwamba hatuhitaji kuandika historia ya jambo fulani kwa kutegemea kilichoripotiwa na vyombo vya habari tu au vyombo vya dola.

Kwa ujumla ni hali ya kutisha. Lakini ni ishara kwamba serikali bado iko kwenye karne ya nyuma sana. Karne ambayo ni serikali tu ndiyo iliyokuwa na mamlaka ya kuchukua kumbukumbu za tukio. Kwamba tukio lisipochukuliwa na waandishi wa habari basi halikutokea. Kwamba waandishi wa habari tu ndio wanaoweza kutoa habari. Karne ambayo kwamba kauli ya serikali ilikuwa ya kweli daima!

acha uoga asante kutupa habari kwamba hizo cd sasa zipo mtaani, tunazihitaji mwanza, dar, mara, rukwa, mbeya, arusha, kagera, kilimanjaro, manyara, kigoma, tabora, basically tanzania nzima ila tuanze na mikoa hiyo tupe direction vizuri zinapatikana wapi -tulishachoka na maisha ya kuburuzwa na kuonwa mabwege, tunataka kuzisambaza kama njugu ili wauaji wajue pakutokea . Tuma nakala moja makao chdema au mpelekee mh. Lema. Kamanda wa vita.
 
huyu jamaa nina wasiwasi nae inawezekana hana ndiyo kwanza anazitafuka maana polisi wana tafuta picha hizo kwa njia zote....au huyu jamaa ni fisi mbaya kabisa
 
siku ya mazishi nilihisi wewe ni polisi (shushu) sasa hisia zangu mara nikanza kuamini wewe ni mpiganaji lakini kwa uoga huu kuna kila dalili kuwa wewe ni kati ya waliotuua tarehe 5-jan-2011...

and, what if?

yaani siku ya mazishi wewe na PJ mnahangaika kunijua kuliko kufuatilia habari. lakini niliwaagizia mara mbili mahali nilipo hamkuja. badala yake nikaparamiwa na mijidada miwili ikabidi niitose. baadaye PJ anakuja kuniambia simu yake iliisha chaji. leo hii unaniambia mimi ni muuaji. mkuu tafuta namna ya kuongoza hisia zako bana.
 
huyu jamaa nina wasiwasi nae inawezekana hana ndiyo kwanza anazitafuka maana polisi wana tafuta picha hizo kwa njia zote....au huyu jamaa ni fisi mbaya kabisa

lakini kwa nini wewe na PJ mnang'ang'ania sana kuwajua watu. hivi ukikutana na Lowassa utasema ulikuwa unatafuta nini? au ghafula unakuta mimi ni Saidi Mwema? si utakuwa umejikabidhi mwenyewe mkuu? tafadhali tusikae kwenye janvi kama hao watoto wazee (uvccm) waliomtukana Dr. Slaa badala ya kujenga na kujibu hoja.
 
Njia salama ya kusambaza hizo cd ni kuziweka kwenye mitandao yote ya kijamii. ukikaa nazo unaweza kukutana na intelijensia.
 
lakini kwa nini wewe na PJ mnang'ang'ania sana kuwajua watu. hivi ukikutana na Lowassa utasema ulikuwa unatafuta nini? au ghafula unakuta mimi ni Saidi Mwema? si utakuwa umejikabidhi mwenyewe mkuu? tafadhali tusikae kwenye janvi kama hao watoto wazee (uvccm) waliomtukana Dr. Slaa badala ya kujenga na kujibu hoja.
Fungua account mega-upload au tube nyingine yoyote alafu uziupload unaweza ukafungua email account feki alafu ziweke huko thats it then pm people kwamba mzigo tayari...... Easy Peasy japanese
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom