Video: Yanga wali-train kucheza rafu mwanzo mwisho?

Kwani Mwakalebela anasemaje? au ndio anaibua kesi kisa Morrison kafunga goli leo
 
Haya ni maelekezo ya wachambuzi wa michezo ambao wengi ni level za ndondo.

Kama ulifuatilia uchambuzi wao walisifu sana aina hii ya mpira.Waliamini ukicheza mpira wa mieleka lazima utamwogopesha Simba kucheza,na hivyo kumshinda kirahisi.
View attachment 1871916

Napata shida sana kuangalia clips za marudio ya hii match. Napata shida kuona mpira ukichezwa kama vita na ugomvi. Najiuliza faida ya rafu hizi ni nini. Mbali na upinzani wa timu lakini wachezaji hawa ni washikaji na wote wanapigania uzima ili kujenga maisha yao. Sasa inakuwaje jitu linacheza rafu ya kiwango hiki bila kujali usalama wa wengine?

Zaidi najiuliza ni nani anawafundisha kufanya haya?haya yanaweza kuwa maelekezo ya mwalimu?

Hii timu sio ya kuombea mafanikio kabisa
 
Anayesema yanga walicheza faulo mwanzo mwisho ni mpuuzi

Rafu walicheza wote na baadhi ya rafu refa alipeta yanga wakiongoza kwarafu 22 sumbwa wakiwa na rafu 17 kombe la Azam

Mechi ya tarehe 3 sumbwa waliongioza kucheza rafu .licha ya refa kupeta Sana rafu Za sumbwa
Sumbwa ndio timu gani!?
 
Back
Top Bottom