Kwa hiyo hata kama kweli ni shetani tufumbe macho?Huwezi kumuita raisi wa nchi shetani. Eti ikulu Ina shetani
Huyu amerogwa sio bure
Kumbe mnamkamata tu hamjui hata ikulu gani?Acha upumbavu, huwezi kumuita mkuu wa nchi shetani
Huyu inapaswa akamatwe aseme ikulu gani Ina shetani.
Mpuuzi sana huyu mjinga wa mwisho
Kwahiyo turuhusu matusi kwa mamlaka?, lakini sawa kama demokrasia inataka hivyo,, swali,, mbona kipindi cha mkapa au jpm hawakutukana?Kwa baadhi ya watanzania wenye akili fupi wanamuona Rais kama Messiah
At Atafungwa tu, pilato alifunga na hadi leo wanafungwaSijui watafunga na kukamata wangapi.
Kiongozi wa dini anapoanza kuongea kwa vijembe huyo ni mnafiki,, hii ina include askofu shoo,Kumbe mnamkamata tu hamjui hata ikulu gani?
Dah....
Aiseee Mungu aniepushe kuwa na mawazo kama haya.
Shetani maana yake ni nini?Huwezi kumuita raisi wa nchi shetani. Eti ikulu Ina shetani
Huyu amerogwa sio bure
Rais sio malaika akiwa na ushetani lazima ukemeweHuwezi kumuita raisi wa nchi shetani. Eti ikulu Ina shetani
Huyu amerogwa sio bure
Anachezea mamlaka uyu..Huwezi kumuita raisi wa nchi shetani. Eti ikulu Ina shetani
Huyu amerogwa sio bure
Shida ni vitendo afanye mwingine, lawama apewe mwingine,, wakati tuko kwenye healing process, ilitakiwa hekima tu iwasukume hawa watu kuepukana na lugha za maudhi na za kimhemko, lakini wapi... [emoji1745]
Si umuombe Mwingira mwenyeweJF ndio tegemeo la Dunia la kufichua yaliyofichwa , naomba yeyote mwenye video ya mahubiri ya Baba Askofu Mwingira alioyatoa leo, yanayosemekana ni mahubiri makali kupita yote ya maaskofu ya kudai haki tangu kupatikana kwa uhuru wa Tanganyika atuwekee tafadhali .
Kamanda hataki kuomba msamahaYou tube nao wajinga tu.
Hio video itaishi na ndio itamtoa Kamanda mahabusu.
Huwezi kumuita raisi wa nchi shetani. Eti ikulu Ina shetani
Huyu amerogwa sio bure
Kibaka ambae yupo Ikulu kwa kupora chaguzi hawezi kuitwa kuwa ni Rais.Huyo ni Shetani.Anachezea mamlaka uyu..
Kahemkwa msamehe Bure🏃.Countrywide wewe ndio kichaa mjinga wa mwishon ikulu ni meno la wahehe lenye maana mahali pakuu yeyote aweza kulitumia hata kwangu ni ikulu yangu sass hapo katukanwa nani? Kisheria wewe ni poyoyo
Hotuba hujaisikia halafu unamshambulia mwenye kutoa hotuba bila sababu.Hotuba japo sijaisikia, headline tu inaonyesha, askofu anaongozwa na mihemko, pamoja na dharau za kimtikila kwa marais wa kiislamu,, sababu tu wanakuwa si madikteta,,
Hawa jamaa washagundua viongozi wenye imani ya kiislamu wanakuaga na hekima too much,, jambo linalowafanya watu mbalimbali wajaribu kuwatikisa tikisa na kuwa provoke,,,
Hii tendency ilianza tangu zama za Ruxa,, kipindi kina mtikila, Pengo, etc walivyokuwa wakimnanga mzee Ruxa bila woga wowote,, tofauti na walivyofanya kipindi cha nyerere, mkapa, au chuma
Takhbiiiiirrr !!Hakika tujifunze kutenda mema,dunia ni mapito
Kwa waislamu wanakumbushwa ktk kitabu.chao
Kutenda mema na ukienda kinyume hakika utakuwa umevaa vazi la ushetan.
Allah amesema"Wapo mashetani wa kijini na kibnadamu sur.114 aya 6"
Hiyo tafsiri ya matusi ni yako. Wanaofunguka wanatumia haki ya kujieleza. Ukiitwa shetani na unafanana naye hujatukanwa. Umeambiwa ukweli wa jinsi ulivyo. Ni kama mtu akisema wewe ni mchafu huku umetapakaa kinyesi, utakuwa umetukanwa?Kwahiyo turuhusu matusi kwa mamlaka?,
Hawa walikuwa wavunja katiba inayoruhusu uhuru wa kujieleza. Mwendawazimu akikamata bunduki huwezi kujadiliana naye eti aweke silaha chini tafadhali. Unamsubiri ajisahau umyang'anye au umtwange ndonga ya kichwambona kipindi cha mkapa au jpm hawakutukana?