Usimshambulie mtu jifunze kujibu hoja kwa hoja bossHuwezi kumuita raisi wa nchi shetani. Eti ikulu Ina shetani
Huyu amerogwa sio bure
Mi naona Ile kufungiwa benki ya Efatha ndo maumivu yanayo msumbuaHotuba japo sijaisikia, headline tu inaonyesha, askofu anaongozwa na mihemko, pamoja na dharau za kimtikila kwa marais wa kiislamu,, sababu tu wanakuwa si madikteta,,
Hawa jamaa washagundua viongozi wenye imani ya kiislamu wanakuaga na hekima too much,, jambo linalowafanya watu mbalimbali wajaribu kuwatikisa tikisa na kuwa provoke,,,
Hii tendency ilianza tangu zama za Ruxa,, kipindi kina mtikila, Pengo, etc walivyokuwa wakimnanga mzee Ruxa bila woga wowote,, tofauti na walivyofanya kipindi cha nyerere, mkapa, au chuma
Kama anabwabwaja tu mbona wameondoa video yake,kama unadhani anabwabwaja si wangempuuzia tu,wewe ndiye umebwabwaja hapa.Mwingira ni kama Lisu tu debe tupu kila siku kubwabwaja tu
Kwa sasa yuko wapi huyo Mwanaume?Angesema wakati yupo yule mwanaume wa kukata na shoka
Leo kafutwa yeye...Enzi za chuma watu kama hawa walikua hawakohoi kabisa, maana yule ukicheza anafuta taasisi yako na hakuna kitu utamfanya,,
"Huwezi kuwa msaliti alafu ukabaki salama''
Gwajima alinyooka na kuwa mfuasi mtiifu kweli kweli,
Ombi langu, makonda arudishwe na apewe wizara ya habari, ili watu watie adabu
Katoa maoni yake,nawe toa ya kwako.Huwezi kumuita raisi wa nchi shetani. Eti ikulu Ina shetani
Huyu amerogwa sio bure
Kuna sehemu nimeiona imo humu humu ndani kwetuJF ndio tegemeo la Dunia la kufichua yaliyofichwa , naomba yeyote mwenye video ya mahubiri ya Baba Askofu Mwingira alioyatoa leo, yanayosemekana ni mahubiri makali kupita yote ya maaskofu ya kudai haki tangu kupatikana kwa uhuru wa Tanganyika atuwekee tafadhali .
Ukweli lazima usemwe ,hicho unachokitamani kwa sasa hakipo, yule mtenda maovu alishapumzishwa,Enzi za chuma watu kama hawa walikua hawakohoi kabisa, maana yule ukicheza anafuta taasisi yako na hakuna kitu utamfanya,,
"Huwezi kuwa msaliti alafu ukabaki salama''
Gwajima alinyooka na kuwa mfuasi mtiifu kweli kweli,
Ombi langu, makonda arudishwe na apewe wizara ya habari, ili watu watie adabu
kwani hiyo kaitaja ?Mi naona Ile kufungiwa benki ya Efatha ndo maumivu yanayo msumbua
Tatizo lako hata humjui "AMALEKI" wa nchi ni nani...Huwezi kumuita raisi wa nchi shetani. Eti ikulu Ina shetani
Huyu amerogwa sio bure
Huwezi kumuita raisi wa nchi shetani. Eti ikulu Ina shetani
Huyu amerogwa sio bure
nipe namba zake za simu mkuuSi umuombe Mwingira mwenyewe
You're very ignoramus!!Tatizo lako hata humjui "AMALEKI" wa nchi nani...
Ndugu, USHETANI siyo MTU kwa umbo na sura yake...
SHETANI na USHETANI wa mtu hata Rais hujidhihirisha ktk matendo yake...
FACTS CHECKS ZA USHETANI WAO:
1. Kwa siyo kweli kuwa SERIKALI CHINI YA MAGUFULI waliingia madarakani kwa kuiba kura ktk uchaguzi mkuu wa 2020?
USHETANI na ni SHETANI huyo!!!
2. Kwani siyo kweli kuwa katika utawala wa Hayati Magufuli serikali yake iliteka, kuua na kupoteza watu mpaka leo?
USHETANI na ni SHETANI huyo!!!
3. Kwani siyo kweli kuwa, aliibia watu hususani wafanyabiashara wenye mlengo tofauti wa kisiasa na yeye fedha kwenye bank accounts zao kwa kisingizio cha ufisadi bila kuthibitishwa na mahakama chombo cha kisheria ?
USHETANI na ni SHETANI huyo!!!
4. Kwani siyo kweli kuwa Rais Mahufuli (Mwendazake) na huyu mwanamama akiendeleza hakuongoza nchi hii kwa kuvunja sheria na katiba kwa hofu ya kuondolewa madarakani?
USHETANI na ni SHETANI huyo!!
NB: Hey! Mr/Mrs/Miss Countrywide need we say more...?
Labda anamungu wake
Chuma chenyewe saa hizi kinaliwa na mchwaEnzi za chuma watu kama hawa walikua hawakohoi kabisa, maana yule ukicheza anafuta taasisi yako na hakuna kitu utamfanya,,
"Huwezi kuwa msaliti alafu ukabaki salama''
Gwajima alinyooka na kuwa mfuasi mtiifu kweli kweli,
Ombi langu, makonda arudishwe na apewe wizara ya habari, ili watu watie adabu
You tube hawawezi kuondoa. Itakuwa ni wahuni wa Tz wameweka zuio tu kwa wasomaji/watazamaji waliopo Tz!You tube nao wajinga tu.
Hio video itaishi na ndio itamtoa Kamanda mahabusu.