VIDEO: WAZAZI: KUDEKEZA WATOTO, MZAZI ACHAPWA MAKOFI NA MTOTO WAKE

Singida ndio home

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
3,192
3,353
MTOTO UMLEAVYO NDIVYO AKUAVYO

Mambo ya kuwalea watoto kizungu zungu mwisho ulaya, Afrika utamaduni wetu ni kuadhibu watoto pale wanaporudia kosa. Si ajabu haya mambo ya kulea watoto kizungu ndo hivi hivi unakuta mtoto anakuwa shoga, msagaji, hana nidhamu, n.k

This is Ghetto America. Mtoto wa kibongo hawezi kufanya hivyo
MTOTO UMLEAVYO NDIVYO AKUAVYO

Mambo ya kuwalea watoto kizungu zungu mwisho ulaya, Afrika utamaduni wetu ni kuadhibu watoto pale wanaporudia kosa. Si ajabu haya mambo ya kulea watoto kizungu ndo hivi hivi unakuta mtoto anakuwa shoga, msagaji, hana nidhamu, n.k

View attachment 1142021
 
Hii video ya kitambo huyo mama ni teja hata huyo mtoto anavyompiga huyo mama anajua kakosea ndio maana katulia anajutia.
 
Mambo ya kizungu ayoo kibongo bongo uyo dogo angechezea viboko kama vyoteeee
 
Aisee angekuwa mama mnyakyusa angeshuka na huyo mtoto jumla jumla.. Lazima utoke na kovu la historia
 
Back
Top Bottom