Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,393
- 14,499
Wananchi, wakiwa na huzuni na mshikamano, walizika nguo za marehemu aliyeuawa na polisi baada ya mwili wake kutokupatikana ishara ya kuenzi utu na kupaza sauti ya haki.
na wahalifu?Wauaji wamelaaniwa Duniani na Mbinguni.
kwamba umeumia viatu kuzikwa 😂Aisee inauma sana.
kwamba umeumia viatu kuzikwa
Mungu atuepushie mbali roho za mauti!