Chikaka Sumuni
JF-Expert Member
- May 16, 2013
- 1,337
- 770
Jmani mbona mada imekwisha kwa kupatana Bungeni. Yaani hamtaki tupumue angalau kidogo? Mbona hakuna anayehoji ARI, KASI na NGUVU MPYA kwenye Ufisadi, Mauaji ya Tembo, Pesa za EPA, Mikataba hewa ya Madini na hata malori saba ya Wachina yenye udongo wa dhahabu?
Kwa nini msihoji wale walioanzisha sera ya kuanzisha sera ya Mahakama ya Kadhi?
Ebu tuacheni mpka Mkutano Mkuu tukae ndo tuone kama ni muhimu kuendelea na "Kauli Mbiu yetu?
Kwa nini msihoji wale walioanzisha sera ya kuanzisha sera ya Mahakama ya Kadhi?
Ebu tuacheni mpka Mkutano Mkuu tukae ndo tuone kama ni muhimu kuendelea na "Kauli Mbiu yetu?