Video: Uliberali walivuruga bunge

Status
Not open for further replies.
Jmani mbona mada imekwisha kwa kupatana Bungeni. Yaani hamtaki tupumue angalau kidogo? Mbona hakuna anayehoji ARI, KASI na NGUVU MPYA kwenye Ufisadi, Mauaji ya Tembo, Pesa za EPA, Mikataba hewa ya Madini na hata malori saba ya Wachina yenye udongo wa dhahabu?

Kwa nini msihoji wale walioanzisha sera ya kuanzisha sera ya Mahakama ya Kadhi?

Ebu tuacheni mpka Mkutano Mkuu tukae ndo tuone kama ni muhimu kuendelea na
"Kauli Mbiu yetu?
 
Non of these parties knows the right way for us(tanzanians). We cant fall in euphoria of these guys,... Cdm,cuf,ccm they are both in the same group bt of different colour, we should be care of that otherwise we are going to lose our destiny.
 
Aisee, vipi umeshamaliza kuhamasisha maandamano ya wanafunzi Morogoro?

hivi ni kweli unawakejeli wale wanafunzi wa Mzumbe?sio siri we ni mkatili sana, Mungu akusamehe, umeona vyoo vyao?please kuwa na huruma, yaani unataka kusema ile nayo ni CHADEMA?ulaaniwe
 
jmani mbona mada imekwisha kwa kupatana bungeni. Yaani hamtaki tupumue angalau kidogo? Mbona hakuna anayehoji ari, kasi na nguvu mpya kwenye ufisadi, mauaji ya tembo, pesa za epa, mikataba hewa ya madini na hata malori saba ya wachina yenye udongo wa dhahabu?

Kwa nini msihoji wale walioanzisha sera ya kuanzisha sera ya mahakama ya kadhi?

Ebu tuacheni mpka mkutano mkuu tukae ndo tuone kama ni muhimu kuendelea na
"kauli mbiu yetu?

tuelezeni muda huu mana mnaonekana kuwa nyie ni "waliberali"
 
Sasa kama ndio hivyo kwa nini CUF walitoa mapovu na mijitusi mikubwamikubwa?..... kwa nini?...........si wangewajibu CHADEMA kwa hoja kama uliyoibandika wewe! au hawa jamaa ndo nwale wenye msimamo mkali?:heh::heh:

Nakuunga mkono ukweli ni kuwa sababu kubwa ni msingi wa imani zao za dini, utamaduni wa upole hakuna,kusamehe hakuna akipigwa shavu la kulia yeye analipua bomu kabisa, kwa mtu mwenye kutafakari atapata jibu kama hilo, issue ya ushoga na usagaji ni ndogo sana na si isingesababisha vurugu kama ile.wange jibu kwa hoja, je ni watanzania wangapi wanaojua kuwa msimamo wa cuf si huo ingawa wapo katika uliberali? kwanza wengi wamefahamu kupitia hotuba ya CDM na huo ndio ukweli, sasa ilikuwa ni wakati muhafaka kwa cuf kufafanua na si kutoa matusi ya nguoni,
 
hivi ni kweli unawakejeli wale wanafunzi wa Mzumbe?sio siri we ni mkatili sana, Mungu akusamehe, umeona vyoo vyao?please kuwa na huruma, yaani unataka kusema ile nayo ni CHADEMA?ulaaniwe

We kweli CHIZI.

Acha kudandia mazungumzo usiyoelewa.
 
Cuf ni waliberali tu...Hata ukigugo list ya liberal parties in africa utaikuta na kafu....Kina lipumba na maalim sefu ni waliberali tu mnasapoti yale mambo.
 
Chadema baada ya kupambana na ccm saasa waehamia kwa cuf?? Hawa jamaa wa cdm hawana lolote ni kama wababaishaji tu, baada ya kujenga umoja na cuf wenyewe wanawadhalilisha cuf??

una muda gani tangu umeanza kufuatilia siasa za tz, unaonekana u mtupu kabisa!
 
Chadema baada ya kupambana na ccm saasa waehamia kwa cuf?? Hawa jamaa wa cdm hawana lolote ni kama wababaishaji tu, baada ya kujenga umoja na cuf wenyewe wanawadhalilisha cuf??

Usichekeshe watu, CUF tayari wana mshirika wao ambaye ni CCM sasa huo umoja wa CHADEMA na CUF unakujaje?
 
unajuwa unaweza kuwa liberal lakini ukawa pia anti same sex marriage au sivyo? kama ilivyokuwa socialist lakini ukaendorse some aspect za capitalism kama ilivyo tz hivi sasa, tuangalie upande wa UK, wakati wa Blair hivi nani asiejuwa labour ni chama cha left lakini angalia baadhi ya policies zao wakati ule jinsi zilivyobeba ideaology za kibepari sasa utawaitaje? turudi katika suala hili la wenje, naona blanket statement yake haijaonyesha ukweli wa uchambuzi, ni cheap politics zitazowagawa wapinzani na kuupa nguvu zaidi utawala mbovu..kuwa liberal sio kama utasupport ideaology nzima ya liberals..kwa africa hasa unaweza kuja na mfumlo wa liberalism wenye kulionda tamaduni zenu, sasa ikiwa cuf ni chama kama alivyosema Wenje, ni vipi serikali inayoongozwa kwa ubia na hao cuf liberals ikaja na sheria za kuban same sex marriage na hata kuweka kifungo cha miaka saba kwa anaepractise homosexuality? Unapowaambia watanzania hawa ni gurupu la aina hii uje na founded proof sio hadithi za kupanga panga, inakuwaje mpenda homosexuality halafu akaban na kuweka strick rules katika serikali anayoiongoza? Majuzi tu walituhumiwa kuwa ni waislamu, sasa angalia scenario ya pili ya uislam na homosexuality inaendaje? Tuwe wakweli, kuwa libveral haimaanishi kama utabeba dhana nzima hasa ikiwa na tradition tafauti na ya kwenu, african liberalism movement hamuijuiu? Ukosefu wa elimu ya siasa za kweli au ni cheap politics?
 
Kwani ni SHIDA kujua IDEOLOGY YENU? kwanini Mnapokea PESA za WESTERN WORLD na MKIWA Na Wapiga KURA wenu Mnawacriticise WESTERN WORLD? WHY DOUBLE STANDARDS...

Angalia PICHA MKUTANO wa LIBERALS nani yupo katikati???






banner_7.jpg

You are here: Home


Welcome to the Africa Liberal Network

The Africa Liberal Network is made up of 34 parties and organisations from 25 African countries, and is an associated organisation of Liberal International, the political family to which liberal democratic parties belong.

The ALN aims to promote liberal democratic objectives and principles throughout the African continent. The parties involved in the network are bound by a policy stating that they exist to ensure the freedom and dignity of all people through establishing political and civil rights, ensuring basic freedoms, the rule of law, democratic government based on free and fair elections with peaceful transition, ensuring religious, gender, and minority rights, fighting corruption, and establishing free market economies.

Cuf wameshikwa pabaya jamani
 
Hawa walibelal ni janga la nyumba kwa nyumba tuwe nao makini.wana tumwa na ccm kuimali za chadema lakini hawa tuwezi.mbunge mmoja wa chadema sawa na wabunge wa tano cuf.
 
[video=youtube_share;Rrl86Fo798w]http://youtu.be/Rrl86Fo798w[/video]

Uvumilivu wa kisiasa unahitajika kulinusuru Bunge letu


ha ha ha ha! Waliberali wana hasira?! Du...kaaazi kwelikweli.
 
Umeongelea Chadema kama chama kuwa na mahusiano na chama cha Conservative ambacho Waziri mkuu wake D Cameroon,vipi mbona haujaongelea Tanzania kama nchi Uingereza ni Developmentt partiner ambaye tunategemea pesa zake kwenye bajeti yetu ili watanzania waishi wanamtegemea Muingereza hapo unasemaje kama na wewe si MNAFIKI au haujui ni nini unaandika watakushika makalio tu Mwanafalsafa huna ujanja umewaona kwa Chadema wakati hata wewe unaishi kwa kuwategemea waona wazazi wako na kila ndugu yako acheni majungu wakati uwezo hamna

Sawa mkuu. Wewe ambae wazazi wako na kila ndugu yako wana uwezo na kitu endeleeni...nahisi bp ita kushuka sasa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom