Kwa wale wasioridhika na maamuzi ya jana ya jopo la majaji wa Mahakama kuu chini ya Jaji Ndunguru, wasikilize tena clip hiyo. Tundu lazima aeleze hiyo kauli ilikuwa ina maana gani?
Tundu alete mashahidi watakaomtoa kwenye hiyo kauli, na siyo drama za kumleta Rais, kitu ambacho kwa Katiba yetu hakiwezekani.
Kupanga tu nao ni uhaini siyo lazima kushika bunduki. Kwani Lugangira "Uncle Tom" alishika bunduki mwaka 1983 kwenye ile kesi ya uhaini?Ni kweli alitoka jela nakwrenda kuwapiga watu risasi, magereza wanapaswa kihojoea ilikuwaje aruhusiwe kutoka kwenye mikono yao
Soma kifungu cha 39 cha Sheria ya Kanuni ya Adhabu, Sura ya 16 inaana kusema "Any person....." and not a group of persons ..... na kama mtu mmoja hawezi kushitakiwa kwa uhaini basi kwa siku ya juzi asingekutwa na kesi ya kujibu maana ingeishia tu kwa kuonyesha such weakness kwamba ni mtu mmojaHakuna uhaini hapo. Uhaini ni conspiracy na matendo, sio public statements. Na duniani hakunaga conspiracy ya mtu mmoja, kwasababu, by definition, a conspiracy requires an agreement between two or more people!
Kama angekuwa anakabiliwa na mashitaka ya uchochezi angalau kungekuwa na hoja ya kujadili.
Mbona hilo linajulikana kwa yeyote mwenye akili timamu?Tundu lazima aeleze hiyo kauli ilikuwa ina maana gani?
Let say aseme alikuwa anatania na ku jokes,lakini kumbuka imeshaleta maafa!,
Kwa wale wasioridhika na maamuzi ya jana ya jopo la majaji wa Mahakama kuu chini ya Jaji Ndunguru, wasikilize tena clip hiyo. Tundu lazima aeleze hiyo kauli ilikuwa ina maana gani?
Tundu alete mashahidi watakaomtoa kwenye hiyo kauli, na siyo drama za kumleta Rais, kitu ambacho kwa Katiba yetu hakiwezekani.
Siyo kweli. Nionyeshe silaha za akina Lugangira waliotaka kumpindua Nyerere mwaka 1983...uhaini hauwezi kuwepo bila kupanga njama, kuwa na silaha, na ku-target viongozi wa serikali. Hakuna uhaini wa mtu mmoja.
Alipaswa apinge kupitia Mahakama lakini siyo kwa kuanzisha vuruguMbona hilo linajulikana kwa yeyote mwenye akili timamu?
Nia hapo ilikuwa ni kupinga uchaguzi wa kihuni, wizi wa kura, na utapeli wa uchaguzi unaopelekea watu wasiochaguliwa na wapiga kura kutangazwa kama "washindi" wa uchaguzi.
Hivi kati ya mwizi wa uchaguzi kinyume na matakwa ya Katiba ya nchi, na anayepinga huo wizi ili uchaguzi uwe wa kweli na halali, sanduku la kura liheshimiwe, ni yupi mhaini halisi??
Lissu alionywa hata na Jaji Warioba alipomtembelea baada ya kushinda uchaguzi Jan 2025. Warioba alimuambia endeleeni kupigania reforms ndogondogo zinzowezekana kwa short term lakini HAMUWEZI KUAHIRISHA AU KUZUIA UCHAGUZI kwa kuwa upo Kikatiba.Let say aseme alikuwa anatania na ku jokes,lakini kumbuka imeshaleta maafa!,
Tatizo la lissu ni kushindwa --kuielewa nafasi na cheo alichonacho kama mwenyekiti wa chama endapo kama kauli tu inaweza kuleta maafa au baraka---/
#Unapokuwa katika mamlaka hasa hayo ya kisiasa,ukatamka jambo,basi huchukuliwa kama Agizo!..na vyombo vya chini huanza utekelezaji mara moja.
Walishafanya hivyo mara nyingi bila mafanikio yoyote.Alipaswa apinge kupitia Mahakama lakini siyo kwa kuanzisha vurugu
🤔Tusipangiane cha kuandika. Hawa akina Tundu walimkimbia Magufuli, na alipokufa Mama kawarudisha na kuwafutia kesi zao. Walimdharau ngoja wacheze ngondoigwa
Siyo kweli. Nionyeshe silaha za akina Lugangira waliotaka kumpindua Nyerere mwaka 1983.
Soma kifungu cha 39 cha Sheria ya Kanuni ya Adhabu, Sura ya 16 inaana kusema "Any person....." and not a group of persons .....
Lissu alionywa hata na Jaji Warioba alipomtembelea baada ya kushinda uchaguzi Jan 2025. Warioba alimuambia endeleeni kupigania reforms ndogondogo zinzowezekana kwa short term lakini HAMUWEZI KUAHIRISHA AU KUZUIA UCHAGUZI kwa kuwa upo Kikatiba.
Hata alipomtembelea Raila Odinga pia alishauriwa kutozuia uchaguzi.
Lakini mwana kulifaindi kutoka Ikungi kajifanya ana big balls. Mwache aendelee kulinywa
Siyo kweli. Nionyeshe silaha za akina Lugangira waliotaka kumpindua Nyerere mwaka 1983.
Soma kifungu cha 39 cha Sheria ya Kanuni ya Adhabu, Sura ya 16 inaana kusema "Any person....." and not a group of persons .....
Tundu lisu anyongwe
Kwa wale wasioridhika na maamuzi ya jana ya jopo la majaji wa Mahakama kuu chini ya Jaji Ndunguru, wasikilize tena clip hiyo. Tundu lazima aeleze hiyo kauli ilikuwa ina maana gani?
Tundu alete mashahidi watakaomtoa kwenye hiyo kauli, na siyo drama za kumleta Rais, kitu ambacho kwa Katiba yetu hakiwezekani.
Niliandika hapa kuwa Lisu hafai kuongoza jambo lolote isipokuwa uwanaharakati tu.Let say aseme alikuwa anatania na ku jokes,lakini kumbuka imeshaleta maafa!,
Tatizo la lissu ni kushindwa --kuielewa nafasi na cheo alichonacho kama mwenyekiti wa chama endapo kama kauli tu inaweza kuleta maafa au baraka---/
#Unapokuwa katika mamlaka hasa hayo ya kisiasa,ukatamka jambo,basi huchukuliwa kama Agizo!..na vyombo vya chini huanza utekelezaji mara moja.
Hakika mkuu!,Niliandika hapa kuwa Lisu hafai kuongoza jambo lolote isipokuwa uwanaharakati tu.
Hana busara za uongozi kabisa.
Alishaharibu kabisa TLS ila watu walikuwa wanamsifia.
kwani huyo Rais ana nini kiasi cha kushindwa kutoa ushahidi mahakamani