Video: Uhaini wa Lissu uko hapa

Stuxnet

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2011
Posts
18,881
Reaction score
29,382
Your browser is not able to display this video.

Kwa wale wasioridhika na maamuzi ya jana ya jopo la majaji wa Mahakama kuu chini ya Jaji Ndunguru, wasikilize tena clip hiyo. Tundu lazima aeleze hiyo kauli ilikuwa ina maana gani?

Tundu alete mashahidi watakaomtoa kwenye hiyo kauli, na siyo drama za kumleta Rais, kitu ambacho kwa Katiba yetu hakiwezekani.
 
Tafsiri sahihi ya uhaini ni nini?
 
Kuzuia uchaguzi sio uhaini
 
Kama ni huu ushahidi wa video ulishakataliwa na mtuhumiwa kuingia mahakamani, kwa sababu ulikosa vigezo vinavyotakiwa! Kama ni kuhusu hilo neno kukinukisha, halina uhusiano na uhaini! Mashahidi wa upande wa mashtaka walishindwa kuthibitisha pasi na shaka! Yaliyotokea Oktoba 29 nayo hayahusiani na Lissu kwa sababu hakuwa kiongozi au mratibu wake!

Mimi ni Bush lawyer tu, lakini ninaona kabisa Majaji wako upande wa serikali kwa kuendelea kuikumbatia hii kesi ya kupikwa.
 
Unaungaunga video ilikupata usahihi wa ilo unalotaka
Acha uzwazwa!?
 
Unaungaunga video ilikupata usahihi wa ilo unalotaka
Acha uzwazwa!?
 
Usichoelewa ni kuwa kuzuia uchaguzi siyo uhaini, pia disobedience siyo uhaini na kwa taarifa zaidi vyama vyote vya upinzani mara zote ni disobidient kwa serikali iliyopo madarakani yaani vinaipinga 24x7 hivyo kutotii masharti / sheria na kanuni za uchaguzi siyo uhaini.
Nenei uhaini kuiondoa serikali madarakani kwa nguvu na siyo kutokubaliana nayo au kutoitii.
 
Tukiacha ushabiki wa kisiasa kauli yake ilikua hatari sana maneno kama tutakinukisha, tutazuia uchaguzi, tutahamasisha uasi.
-Kuzuia uchaguzi inaweza kuwa kwa kuhamasisha watu wasiende kupiga kura au kwa sheria za mahakamani
-Uasi inaweza kuwa maandamano, kutotii Sheria katili n.k (non-armed rebellion)
-Kukinukisha kila siku watu wanasema haya maneno, utaamua wewe mwenyewe tafsiri yako
 
Hata mkilia na kusaga meno haisaidii
Yule kichaa lazima ale kitanzi
Kauli zake ziko clear kuwa alikua anahamasisha uasi na uhaini kwahiyo madhara yameshatokea na kesi ya kujibu anayo kichaa yule
Hilo halitatokea abadan. Lissu saa hii ingeishatoka zamani sana ila tatizo ni maneno maneno ya wafuasi wake na yeye. Kwa sasa Serikali na Mahakama wanahaha kuona angle watakayomtoa isilete aibu kwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…