Video: Shikamoo English, hebu tucheke,

Its not kiki my head.@Alikiba ana muonekano smart apo kumbe nae s/m kat
Aweso
 
Wabongo na sisi tusiwe wanafki, Mtu akichapia Kiswahili tena Mswahili kabisa hatumshangai ila akichapia kiingereza tunamshangaa(hapa nawazungumzia hasa wale ambao hawajaenda shule sio kama Elimu ya Yohana hapo akichapia lazima tushangae maana yeye ni Dr). Kuboronga ndio mwanzo wa kujifunza hakuna aliyezaliwa anajua kuongea, wote tumejifunza, naamini hao wote hapo juu wapo hatua ya kujifunza.
 
Yaani kweli mkuu mimi huwa nachukia sana aisee, sijui ni sababu zip zinasababisha mpaka kuweka herufi zisizoendana na maneno, mfano hela=ela, angaza=hangaza
Sasa wale wa lugha ya jahazi na yeye wa lugha yetu adhimu ya kiswahili nani ana afadhali?
 
Back
Top Bottom