Video: Penzi la Poshy lamuingiza Harmonize Kanisani

Waafrika wenzangu, ngozi nyeusi...Hizi dini tuliletewa tu aise, tulizaliwa tukazikuta na tutakufa tukiziacha pia hivyo tusijifanye kuwa sisi ndio waasisi wa hizi dini....Dini sisitufanye tukawa wajinga, wenye chuki na wenye wivu pia.

Kila mtu aishi maisha yake as long as hamkosei mwingine.
 
Penzi kati ya Harmonize na mwanadada Poshy Queen linaendelea ku-make headlines kwenye mitandao ya kijamii.

Harmonize amezua gumzo mitandaoni baada ya kupost Video akiwa Kanisani na mpenzi wake Poshy Queen.

View attachment 2907938

Ikumbukwe kuwa Harmonize ni Muislamu kiimani na Baba yake mzazi ni Ostadhi.

Mjanja M1
fahamu muislamu hakatazwi kuingia kanisani,kwani wakristo ni ahly al kitab,ni marafiki wa kitabu
 
Harmonize ni ithibati kuwa unaweza kumtoa mshamba kutoka ushambani lakini abadan huwezi kuutoa ushamba ndani ya mshamba.

Harmonize ni limbukeni wa maisha na mapenzi haijalishi kiasi gani cha pesa atapata ama exposure daima atabaki kuwa mluga mluga.
inawezekana ni limbukeni lakini kuingia kanisani hana kosa
 
Bangi ukichanganya na mahubiri muda hautoshi kabisa, tunaomba tuongezewe kidogo.
 
Naye ukimchunguza anapenda wakristo mchuguze coz akiwa na muislam mwenzake utaona siku mbili anabwaga , wapo wengi sasa hivi wanagombania mademu wa kikristo na mademu wa kiislam wanalalamika coz ndoa zimekuwa almas kwao ni adimu wengine wanalogana mfano jux naye hivyo hivyo halafu ukichunguza wakristo wanaowa wakristo wenzao ila waislam wengi hawataki kuowa waislam wenzao chunguza
Pia wakristo hawapendi kuolewa na wakristo wenzao ndio maana hujirengesha kwa wanaume wa kiislam wakidai kuwa waislam wanajua kuhudumia mwanamke.
 
Penzi kati ya Harmonize na mwanadada Poshy Queen linaendelea ku-make headlines kwenye mitandao ya kijamii.

Harmonize amezua gumzo mitandaoni baada ya kupost Video akiwa Kanisani na mpenzi wake Poshy Queen.

View attachment 2907938

Ikumbukwe kuwa Harmonize ni Muislamu kiimani na Baba yake mzazi ni Ostadhi.

✍️ Mjanja M1
Mtaalam wa kula kilicholiwa
 
Pia wakristo hawapendi kuolewa na wakristo wenzao ndio maana hujirengesha kwa wanaume wa kiislam wakidai kuwa waislam wanajua kuhudumia mwanamke.
Acha unafiki wewe chunguza utagundua wakristo wanapenda kuowa au kuolewa na wakristo wenzao ila nyie ndio mnaongoza kutaka kuowa wakristo na mbaya zaidi wakristo hukacha mahusiano hayo ingia hata mitandao ya mahusiano fb nk ujionee , utaona wakristo wengi wanatafuta wachumba na kusema wawe wakristo tofauti na nyie
 
Hahahaha
 
Back
Top Bottom