Mayu
JF-Expert Member
- May 11, 2010
- 8,402
- 13,764
Hapo inaingia huna zambi unatoka na zambi kama kilo tano



Hapo inaingia huna zambi unatoka na zambi kama kilo tano



SafiPenzi kati ya Harmonize na mwanadada Poshy Queen linaendelea ku-make headlines kwenye mitandao ya kijamii.
Harmonize amezua gumzo mitandaoni baada ya kupost Video akiwa Kanisani na mpenzi wake Poshy Queen.
View attachment 2907938
Ikumbukwe kuwa Harmonize ni Muislamu kiimani na Baba yake mzazi ni Ostadhi.
✍️ Mjanja M1
Hapa uyole machine ka hizo tunaziiita tandamPosh sio mashine ya kitoto aisee!