Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,365
- 100,406
Pia tujilaumu woote tunaowapigia kura hawa manyang'au.... Mkuu, Usiwalaumu Hao Wawindaji, Walaumu Viongozi Wako Wa Hichi Ki Inchi Kwa Kushndwa Kulinda Rasilimali Zetu.. Hata Watz Tumezubaa Sana
Duh, uwindaji huu kweli haramu...huyu kafanana na swala kweli kweli!
View attachment 178267
mtamu sana huyu!