Power to the People
JF-Expert Member
- Jul 11, 2007
- 1,198
- 900
Baada ya Mchg Msigwa kuanika huu ushenzi magazeti ya Rostam Azizz Mtanzania yalikuja na story ya ajabu ya kutetea ushenzi wa Green Miles kwamba wanaonewa na makampuni ya kimarekani.tena yakatumbukiza na udini ni bahati mbaya Rais wetu na vyombo vya ulinzi na yusalama vimelala pengine vinasubiri hali ikiwa mbaya ndio utasikia vinachukua hatua.
Ungesoma na gazeti la Jamuhuri ungeona jinsi hawa waandishi wetu wanavyojua kuendesha kesi na kutoa hukumu magazetini. Green miles ni wazi kabisa wamevunja sheria za kutosha za uwindaji na wanyama pori kwa ujumla. Wameonewa hawajaonewa ijulikane mahakamani, lakini mpaka sasa sijaona idara ya wanyama pori ikiwapeleka green mile mahakamani. Na hawa waandishi wetu wako kimya wanaandika habari za kuegemea upande mmoja kama wao sio watz. cc Manyerere Jackton
Last edited by a moderator: