MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 31,663
- 48,439
Jamaa alimumunya maneno na kujaribu kueleza kuwa hawakuua watu wasio wanajeshi ila alipohojiwa na kubanwa kwanini waliua familia za watu kwenye nyumba zao, watoto na akina mama, lizee likatokwa na jasho na kutupa mic, lilishindwa kujibu.
Ni aibu sana kwa mzee mtu mzima kama huyu kushindwa kuelekeza vijana kwenye matumizi bora ya dini na kusababisha maafa ambayo hatimaye yalijibiwa na wao wakafa 15,000
View: https://www.youtube.com/watch?v=VAva9VM38uA
View: https://www.youtube.com/watch?v=s5npeqgOx_M